Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

kabisa kabisa kaka...that's what we're praying for.

nina uhakika vs Napoli he was going for all 3 points but sometimes these things (stalemates) do happen and you have to dig in and settle for the scraps at least.

and let's not forget that Ancelotti (the master of UCL) this season amei mould Napoli primarily kwa ajili ya hii competition... so draw tuliyoipata jana tusiichukulie poa - it isn't a bad result at all, with the Ancelotti factor in the equation.
Couldn't say otherwise man but Klopp jana selection was a bit bizarre bro I mean why put Gomez, Hendo, Milner in the filed together and expect to create chances with Napoli playing 5 on the back when we attacked...

Gomez hasn't been Gomez after that long injury playing him as RB with such a game of high importance was total failure jana.. We needed super closes in the box not those mediocre we saw jana..

Playing at Anfield in UCL means 3 points for us not otherwise, a draw not enough and not acceptable especially with Napoli form currently they are winless in 7 matches and they is a mutiny in the making...

With a fully fit squad we should have gone for a kill mapema wrap our 3 points and leave Salzbag and Napoli fighting for the second spot but now we are back in a very tight spot and our winning in th road in UCL is bit zigzag..

Should have won and plan for Brighton and midweek game vs Everton... Now am certain Klopp this season is in for EPL only
 
Wala sikubishii.... Ila kaa ukijua huu msimu hakuna game ambayo salzburg wamecheza bila kuscore hata goal moja. So hiyo game yenu itakuwa ni minus sum game...
I know. hata ya Barca ilikuwa ngumu zaidi ukizingatia hatukuwa na Salah wala Bobby!

LFC always has it their way in this competition.
 
IMG_6719.JPG
 
Hakuna kitu kigumu kama kuwazuia salzburg kufunga.... Hapo difference ya magoal ndo itaamua nani ameshinda na nani ameshindwa...

Sijui umeanza kuangalia UCL mwaka gani lakini kamuulize mshabiki mwenzako wa Chelsea lembu akufahamishe kuwa kwenye Group Stage ya CL munapofungana Points hata kama mmoja ana GD +10 na mwengine ana +1 basi kinachoangaliwa sio Hizo total GD Bali zinazomatter ni GD za only Head to Head.
 
Nmeanza kuangalia UEFA toka enzi hizo kukiwa na group stage mbili then baada ya hapo mnaingia robo final

GD ninayoizungumzia mimi ni in case kama Salzburg atashinda....

Sijui umeanza kuangalia UCL mwaka gani lakini kamuulize mshabiki mwenzako wa Chelsea lembu akufahamishe kuwa kwenye Group Stage ya CL munapofungana Points hata kama mmoja ana GD +10 na mwengine ana +1 basi kinachoangaliwa sio Hizo total GD Bali zinazomatter ni GD za only Head to Head.
 
Kaungane na wazee wa futuhi huko akina asenane na manure
Sijui umeanza kuangalia UCL mwaka gani lakini kamuulize mshabiki mwenzako wa Chelsea lembu akufahamishe kuwa kwenye Group Stage ya CL munapofungana Points hata kama mmoja ana GD +10 na mwengine ana +1 basi kinachoangaliwa sio Hizo total GD Bali zinazomatter ni GD za only Head to Head.
 
hesabu za vijiti na mawe:
kitatokezea kitu gani endapo liverpool atakubali kufungwa goli 1 au zaidi na Red Bull?
liverpool 4 - red bull 3
red bull 1 - liverpool 0

ukiachana na head to head hata ukiangalia goal difference liverpool wamezidiwa na hawa jamaa.
hii mechi si ya kukosa kuiangalia ukijaaliwa uhai
 
Hapo kitakachoangaliwa ni GD kwenye H2H tu na si GD za michezo mengine.

Kwa hapo:
Liver 4 - 3 RB
RB 1 - 0 Liverpool

Hapo GD wote watakuwa wana 4 lakini Liverpool atatoka na RB atasonga mbele.

Sababu ni kwamba RB ana mtaji wa Goli 3 za ugenini alizopata Anfield wakati Liverpool atakuwa na Goli 0 za ugenini.

Kwahiyo ni Matokeo Matatu tu ndiyo yanayoweza kumfanya Liverpool akaingia Next round.

1) Kushinda

2) Au kudraw

3) Au kupoteza kwa Difference ya goli moja Kuwa ushindi usiokuwa wa chini ya goli 5-4, 6-5 na kuendelea.
Wakipoteza kuanzia goli 4-3 na kushuka chini Liverpool hawatosonga mbele.

But kitu cha msingi ni kuwa Liverpool anajua kutafuta matokeo pahali usipotarajia.

So, Tutatinga next round.
 
Wala sikubishii.... Ila kaa ukijua huu msimu hakuna game ambayo salzburg wamecheza bila kuscore hata goal moja. So hiyo game yenu itakuwa ni minus sum game...
Tulihitaji goli nne ili barca ya messi na Suarez watoke na walitoka sasa hao Salzburg ndio watapona? Timu yetu ni hatari kuliko hicho kigenge mnachokopigia upatu humu
 
hesabu za vijiti na mawe:
kitatokezea kitu gani endapo liverpool atakubali kufungwa goli 1 au zaidi na Red Bull?
liverpool 4 - red bull 3
red bull 1 - liverpool 0

ukiachana na head to head hata ukiangalia goal difference liverpool wamezidiwa na hawa jamaa.
hii mechi si ya kukosa kuiangalia ukijaaliwa uhai

Hata msimu uliopita mlikuwa na mahesabu ya namna hiyo ,tulisonga mbele .

Tukaenda kumkalisha munich pale arena wachambuzi wa soka hawaamini wanabaki wanaona aibu walisema Liverpool aiko vizuri ugenini,kumbe Liverpool anaangalia matokea hapa anatakiwa kushinda aangalii yuko wapi.

Liverpool tunatinga hiyo next round.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom