Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Dah! We jamaa ni bingwa wa kufukuwa Makaburi.
 
City alivochukua ubingwa alifungwa na

Chelsea
Newcastle
Crystal palace

Liverpool ali draw na
Man u
Newcaslte
Man city
Everton ,kama sikosei

Man city win,
Mkuu mpaka sasa defence ya Pep ni pasua kichwa mpaka kufika Jan itakua Isham cost Sana tu...

Kuumia Kwa Laporte na kutosajili beki mpya Wa kati baada ya Vin kuondoka kimewa cost Sana Citizens...

Kwa sasa watachapika tu labda na Washindani wao wapoteane
 
Mkuu King Ngwaba Kwangu bhana naona mashabiki wanaongoza kuzomea wachezaji wao ni wa Real Madrid wakifuatwa na Barcelona.. Wale jamaa hawana shukrani matokeo yakienda ndivyo sivyo basi utawasikia zomea zomea kila kona ya uwanja na pia magazeti yao full kuponda.....
 
Nitakuwa na segmnt ya Je, wajuaaa???? Itakayokujia kila siku ya Jumatatu...na leo katika JE,WAJUA ????



JE,WAJUA????????

EPL trophies

Leicester 1
Liverpool 0

TUKUTANE NEXT MONDAY....!!!!!
Liverpool ana 18 league titles......na kama unachukua kubadilishwa kwa jina au mdhamini basi tambua carabao cup tangua ianze bingwa wake ni man city tu......shubamiit!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…