Don njinji
JF-Expert Member
- Dec 29, 2017
- 688
- 1,556
Tetea hoja yako,kwa unavyoona Genk na Leicester ipi ni timu ngumu????ukimkurupusha JKLOPP saa hizi achague kati ya kukutana na Genk ambao ni mabingwa wa Ligi au Leicester au Wolvers unafikiri atachagua ipi?
Kwani lazima utetee upande uliopo mkuu????angalia ukweli tu,duh ...hebu rudia kukisoma nilichoandika kwanza
Mahaba yanawafanya mpofuke akili.....mimi sina wivu na na klabu bingwa ya Ulay Liverpool....ila naongea ninachokiona na kukiamini sasa wewe lete hoja zitakazonishawishi niamini kuwa ninachokiamini sio sahihi lakini sio kutumia mabavu kunitoa katika ninachokiamini.....Hakuna hoja yyt uliojenga. ...kiufupi ni wivu Tu wa maendeleo ya LFC unaokusumbua ila ndani ya nafsi yako unajua ukweli....yaani EPL ukalinganishe na UCL upo timamu kweli ewew!!!!!?bingwa wa ulaya nzima ukamlinganishe na bingwa wa uingereza!!!?
Aiseeeehhhh.....!!!!!!basi sawa nimeshakuelewaGenk ni nzuri na timu Bora kuliko uliwasema,hao unawataja wapo kwenye ligi Bora na inayotizamwa zaidi ila sio kwamba wao ni bora.. .unaweza kuzaliwa dsm lkn usiwe na uwezo kama mtu wa kigoma ila jina la mwanadas es salaam likakubeba
Sawa,Na jibu la swali ni kuwa kama epl ni ngumu kuliko UCL kwann Man city hajabeba na arsenal na hao wote walikuwa/wamekuwa wababe wa epl Kwa vipind tofauti!?
Kama UEFA ni ngumu kuliko EPL katika miaka 29 yote mbona LIVERPOOL wanatoka kapa???
Ina maana Liverpool anapenda vitu vigumu ila virahisi haviwezi????inashangaza....
Sijasema kubeba UEFA ni rahisi,ila nimesema ni rahisi kubeba UEFA kuliko EPL na sababu nimetoa......
Simple....& clear
Tetea hoja yako,kwa unavyoona Genk na Leicester ipi ni timu ngumu????ukimkurupusha JKLOPP saa hizi achague kati ya kukutana na Genk ambao ni mabingwa wa Ligi au Leicester au Wolvers unafikiri atachagua ipi?
Epl ambayo wamebeba watu wengi kama wew unavosema lakin liverpool mpaka sasa its almost 29 years without titleSijawahi kusema kubeba EPL ni rahisi
Post yangu ya mwanzo nilisema yote [EPL & CL) ni Magumu
Hakuna urahisi wowote kubeba CL bali katika kubeba CL kuna ugumu zaidi kuliko EPL
Tuangalie Majority:
1) Blackburn amebeba EPL
2) Leicester City amebeba EPL
3) Arsenal amebeba EPL
4) Manchester City amebeba EPL
5) Chelsea amebeba EPL
6) Manchester United amebeba EPL
7) Liverpool hajabeba EPL
Sasa kwenye Timu 7 hapo kakosa 1 tu ya Liverpool kubeba EPL
1) Liverpool kabeba CL
2) Manchester United kabeba CL
3) Chelsea kabeba CL
Sasa kwenye Timu 7 hapo ni 3 tu ndiyo zimebeba CL
Sasa uhalisia unasemaje kuhusu namba hapo kipi ni shida kubeba kuliko chengine?
Au unataka kuniambia ni Liverpool pekee kukosa EPL ndiyo definition ya 'Ugumu Kubeba'? Serious?
√ Kama wamepata Wengi (EPL) akakosa mmoja (Liverpool) hapo pana wepesi kubeba.
√ Kama wamepata Wachache (CL) wakakosa wengi hapo jua pana ugumu kubeba.
Narudia tena Liverpool hatafsiri ugumu wa EPL wakatai wengi Wamebeba! Bali ni Majority katika kubeba na kuto kubeba ndiyo kunatafsiri Ugumu au Urahisi wa EPL na CL
Ubongo wa nzi3-1 za kubebwa na var
Liverpool mna laana tu, mnatembelea var kupata ushindi ,hamuwez kuwin title kizembe hivo, saizi mnavimba tu na vi match 12 out of 34 ,tulishawazoea sana kuongoza league
Gori la salah offside var ikazima
Gori la kwanza, handball ila var ikazimwa
Harafu mnavimba
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahahha, nani anakufundisha kufanya argument hivi...Tetea hoja yako,kwa unavyoona Genk na Leicester ipi ni timu ngumu????ukimkurupusha JKLOPP saa hizi achague kati ya kukutana na Genk ambao ni mabingwa wa Ligi au Leicester au Wolvers unafikiri atachagua ipi?
Kwahiyo kwa mfano liverpool atacheza na hizo timu zote ili kuchukua ucl????Hahahahha, nani anakufundisha kufanya argument hivi...
Hapo klopp atachagua GENK kwa sababu ni rahisi na anataka ushindi, lakini haina maana GENK sio wazuri kuzidi Leicester au Wolves...
UEFA zinashiriki timu kama Madrid, Barcelona, Baryen, Dotmund, Juventus, PSG ,AJAX, Liverpool, etal gharama ya kikosi cha Juve pekee inatosha kuunda timu mbili bora zaidi ya Leicester na Wolves kwa pamoja, how come kuchukua UEFA ni rahisi?
Achaga uwongo wako wewe ..ina maana wachezaji wa brazil wote wanachezea Liverpool????Bila ya Liverpool Fabinho asingekuwa anaivaa Jezi ya Timu ya Taifa ya Brazil kuliwakilisha Taifa
Mbeleko fc,wanatengenezewa mazingira
Bro naona hapa umetumia nguvu kubwa very unnecessary.Achaga uwongo wako wewe ..ina maana wachezaji wa brazil wote wanachezea Liverpool????
Kama ishu ni ukubwa wa timu vipi Yule Richarson wa everton????
Acheni misifa
Then after, wanataka tuwaite mabingwaMbeleko fc,wanatengenezewa mazingira
Kama UEFA ni ngumu kuliko EPL katika miaka 29 yote mbona LIVERPOOL wanatoka kapa???
Ina maana Liverpool anapenda vitu vigumu ila virahisi haviwezi????inashangaza....
Sijasema kubeba UEFA ni rahisi,ila nimesema ni rahisi kubeba UEFA kuliko EPL na sababu nimetoa......
Simple....& clear