Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

TIM KUBEBWA MSIPO CHUKUA KOMBE MSIMU HUU BAC TENA MAANA FA WANAWAANDALIA MAZINGILA YA KUBEBA NDOO. mwendo ni uleule kila Tim ishinde mechi zake ila kwa mbeleko hizo du BT asante mlinipa hela.HONGERA! Umeshinda Tzs1525600 kwenye bet nyingi (namba ya bet 8474). Kodi Tzs285100. Baada kodi unapata Tzs1240500.
 
Mpira hamuwezi mnataka penalty [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] basi tufanye mmepewa hiyo penalt kimazobezobe maana benardo silver nae alishika[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mpira hamuwezi mnataka penalty [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] basi tufanye mmepewa hiyo penalt kimazobezobe maana benardo silver nae alishika[emoji23][emoji23][emoji23]
MWAKA WA LIVER HUU KABISA .SINA KINYONGO NA LIVER AS LONG AS HAJAWAHI KUNICHANIA MIKEKA
 
Klopp: "If you want to win against City, which is really difficult for any team in the world, you can't play like them as they are the best at what they do. We had to push with our way. It was intense from the first second. You could sense it was really important for both teams"
 
Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.

Pep kapanik sana jana...
 
Nnje ya kilichokuwa kinajadiliwa.

Guardiola ana ujinga mwingi sana kuhusu ubaguzi.

Vipi kuhusu ile vita ya Catalonia na Hispania, hukuona akishiriki kuhamasisha hadi alipigwa faini na FA?

Kuchukua au kutochukua vikombe hakuhalalishi uwepo wa ubaguzi wa rangi sababu hakuna aliyejiumba duniani.

So kwangu Guardiola ni mpumbavu tu.
Unajua alichukua vikombe vingapi msimu wake wa kwanza?

Hilo pengo la Etoo uliliona?
 
Nilichogundua Man City ni kumpa pressure mwanzo na kuhakikisha unapata goli mapema sana bila ivyo atakupelekesha. Sasa nyie kilichowasaidia mlimpa moto ndani ya dakika 10 za mwanzo akachanganyikiwa na ndipo ikawa ushindi wenu
[emoji108][emoji108][emoji108][emoji108]Kazi iendelee....

Kwa sasa Foxes wanaogopeka kuliko Citizens...
 
Ratiba ya msimu huu naona iko upande wetu,city anahaha maana hapo lazima ataacha point tu
 
Hamjamalizana nao bado raundi ya pili
 
Nilichogundua Man City ni kumpa pressure mwanzo na kuhakikisha unapata goli mapema sana bila ivyo atakupelekesha. Sasa nyie kilichowasaidia mlimpa moto ndani ya dakika 10 za mwanzo akachanganyikiwa na ndipo ikawa ushindi wenu
Kabisa ndugu hawa jamaa wako vizuri Sana aisee dawa ni kuwapeleka mchakachaka na kutumia nafasi mtakazopata chap..

Naona Abraham akiwaumiza mapema Sana..
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…