Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Ni bora tuuze ile pitch na vile viti vya anfield ikibidi hata na melwood kwa sasa kuliko kumuachia huyu kiumbe aise
 

Attachments

  • IMG_20191111_090724_976.JPG
    24.1 KB · Views: 17
  • IMG_20191111_090724_976.JPG
    24.1 KB · Views: 14

Yeah
Tatizo waafrica wanapenda sana kujibagua, na lolote litalotokea wanahisi langi yao na physical appearance ndo iliyofanya hvyo

Katika interaction zangu za kaz naona sana hyo ikitokea
Sometimes waga nasema sisi kama waafrica ndo tunajitengenezea mazingira ya kubaguliwa
 
Daaaaaah una roho ngumu sana, mpaka uje kushituka wenzako wameshafika wanakokutarajia, wake up my brother, open your brain, usiwe na kichwa kama Daudi Albert Bashite

Huyo ni kama Kenge hashtuki mpaka aone damu
 
Mwanamichezo mkomavu bingwa huwa kuna muda anakuwa na bahati ktk baadhi ya game huwa ni ishara ya kushinda kitu fulani

Bahati ktk mpira huwa na maana kubwa sana nakumbuka msimu wa 2017 tulimaliza wa pili sisi tulikuwa na bahat sana pamoja na city timu iliyokuwa na bahat mbaya na maamuzi mabovu kwa upande wao ilikuwa liverpool
 
Klopp mnyama sana!
Mane kamaliza mechi dakika ya 50,madakika yote hayo ikawa kusubiri mpira uishe
 
TAA gemu ya jana amestruggle sana hasa baada ya kutoka Henderson niliona klop kaswitch mane position lakini bado haikua msaada kidogo Ox alisaidia maana sterling angemuua yule dogo

Miongoni mwa wachezaji waliocheza vizuri jana ni huyo TAA.
Kama TAA hakucheza vizuri basi Sterling asingetuacha salama.
Kipimo pekee cha kupuma ubora wa TAA ni kuangalia Sterling amepiga ngapi On Target??

Tulishambuliwa sana baada ya klopp kumuingiza Milner ambaye alicheza kama defensive minded ndiyomana timu ikawa chini ambapo Man City wakapata nguvu ya kushambulia ikiongozwa na Bernardo na Sterling.

TAA hakustruggle kama unavyotaka kutuaminisha bali alifanikiwa kwa 100% kumueka mfukoni Sterling

Chenga na mbiyo za Sterling si kipimo cha TAA kustruggle kwani hazikuwa na madhara yoyote kwa upande wetu.

Kama unahesabu kuwa Mpira ni Chenga basi TAA alistruggle

Jana TAA anastahili kujengewa mnara wa Heshima kwa kumdhibiti Sterling mpaka kwa kutumia mikono kuushika mpira alimradi tu Sterling asipite.
 

Kazi tuliyowapa ni Ngumu na sidhani kama mutaiweza?

Kumdondosha points City ndani ya Etihad?
Kumfanya Pep adrop points back to back?
 
Liverpool against Big Teams so
vs Arsenal W[emoji736]
vs Chelsea W[emoji736]
vs Leceister W[emoji736]
vs Manchester United D🤝
vs Tottenham Hotspur W[emoji736]
vs Manchester city W[emoji736]



City against Big Teams...
vs Tottenham Hotspur D🤝
vs Liverpool L[emoji777]
vs Chelsea 🤷‍♂
vs Arsenal 🤷‍♂
vs Leceister 🤷‍♂
vs Manchester United

Tumemalizana na hawa wakubwa pasipo kupoteza, ngoja tuone City atatokaje humo.
 

Hivi Mkuu kwenye Overall performance hujakiona alichokifanya GINI jana?

Hivi unaangalia kwenye system anavyochezeshwa GINI lakini?

Hebu fuatilia kwa Makini uone GINI anachezeshwaje na Klopp

Nadhani utakuwa umemconfuse GINI na kiungo mshambuliaji
 

Umeona Mziki wa City Jana? Jipange kisaikolojia jinsi atakavyokujia na Moto wa kujeruhiwa
 
Man there is something about Gini vs citizens yaani ye always up his game to the unexpected heights...

So cool so composed so lively he give so much jana

Proud Red
 
Man Hendo is always a super bum and you will wait ages for that form to ever come back...

Has he been injured for long? No..

Has he been freezed on the bench? NO

Is he played in his favourite position? Yes

Does he have tools around him to deliver? Yes...

If I were Liverpool top hierarchy I would count my losses and gains and let's the boy go..

Indeed great assist jana he provided and am positive em Top reds in UK will talk about this for many many years na hii pekee atakua anapigiwa kampeni awe starter in all games...
 
All the best mate...

Cant picture being in that superb atmosphere created during em match days..

YNWA
 
👌👌👌👌Kazi iendelee....

Kwa sasa Foxes wanaogopeka kuliko Citizens...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…