Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

PUMBAVU THAAAANA... [emoji1787]

Unaanzaje kulipenda baguzi kuu la rangi lililombaguaga Samuel Eto'o na Yaya Toure?

Hivi vitoto vya kidigitali bhana! Haya kakojoe ulale sasa...[emoji1787][emoji1787]
 
PUMBAVU THAAAANA... [emoji1787]

Unaanzaje kulipenda baguzi kuu la rangi lililombaguaga Samuel Eto'o na Yaya Toure?

Hivi vitoto vya kidigitali bhana! Haya kakojoe ulale sasa...[emoji1787][emoji1787]View attachment 1259976

Wewe jamaa uko so obsessed na Pep! Pep ana Sterling, Otamendi, Kylie Walker, Fernandino, alikuwa na Company, wote hawa ni weusi.

Kwa nini mfano wako ni kwa hao wawili tu?

Anyway, mitazamo inatofautiana.
 
niwakumbushe tu haters wote kuwa liva tumeshamalizana na timu zote za top 6 sasa nyie kina chelshit mjue tu mmecheza na liva tu kwenye timu za top 6
Siyo kila Mshabiki wa Chelsea alikuwa anakutakia mabaya kushindwa dhidi ya Man City, jadili hoja bila mihemuko ili uonekane una busara [emoji16]
 
Acha kujibagua mkuu, weusi ni weusi tu.

Hizi ni excuses tu.

Hivi wewe ukipewa Yaya Toure na KDB unamchukua nani?

Ukiambiwa kwenye timu yako either Messi au Etoo unamchukua nani?
Acha kuzuga basi kama nawe ulianza kumfahamu Pep akiwa Man City tu, kuna rekodi nzuri sana pale Barcelona chini ya Pep ilitakiwa ivunjwe na Samuel Eto'o.

Pep alipokabidhiwa tu club alimuweka Samuel Eto'o benchi ili asiivunje ile rekodi ilihali hakuwa chini ya kiwango.

Una jingine tena la kumtetea huyo Pep Baguzi la rangi nyeusi toka Africa?
 
Referee hakupendelea popote pale.

Vipi goli waliloruhusu LIVERPOOL baada ya Mchezaji wa LIVERPOOL kuangushwa ktk penalty box lakini Referee alipeta wala hakupuliza kipenga na Klopp alichukizwa sana na yale maamuzi ya Referee.

Usibishane na waliochana mikeka ya kubeti, ukipigwa ngeu usije kunilaumu kuwa sikukutahadharisha...[emoji1]
 
Kuna jamaa yupo hum ye anataka kila mtu awe bora kwa 100%

Utaskia hendo ana kazi gani pale lfc kana kwamba klopp anakosea ila yeye anapatia[emoji3]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…