Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Jibu swali we "mbuzi" wa cheltako. Kepa ameconcede goli ngapi na Allison ameconcede goli ngapi?
 
Nlkukataza bangi mkuu
 
Katika watu wasiojua kuhusu mpira ww ni namba moja.... Acha tu ukafuatilie movie za kikorea bro
 
it's still a 2-horse title race in my opinion.
hivi vitoto 2 vinavyoleta mbanano hapa juu vitaanza kutimuliwa vumbi January onwards pampers zao zitakapozidiwa mkojo.

come on you Reds....create that 9-point cushion fast!

View attachment 1259105

To me up now The foxes nawachukulia as big threat than city

And my prediction mpaka round ya kwanza inaisha city atakuwa behind 3 or 4 pts kwa foxes
 
Kabisa ni ngumu sana kwa mwenyeji na mgeni yani kwangu naiona iko 50% kwa 50% hadi sasa hivi, ingawa namtakia LIVERPOOL FC kila la heri.

Mkuu hiyo mechi mimi hainipi pressure kabisa ,mechi tunashinda hiyo.

Ingekuwa etihad pale sawa ningekuwa na wasiwasi,hao wakijitahidi hapo anfield ni droo.

Man city hawako vizuri ,tuache kukalili.hii mechi ya leo ni muhimu sana sana kwa sisi kushinda,so tutacheza vizuri sana tushinde .
 
To me up now The foxes nawachukulia as big threat than city

And my prediction mpaka round ya kwanza inaisha city atakuwa behind 3 or 4 pts kwa foxes

Mkuu hata mimi nakubaliana na wewe,city big mechi kacheza na spurs tu na leo na Liverpool ndio ya pili,bado na leicester,man u,chelsea ,Arsenal.lazima ataachatu point hapo .
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…