AggerFirminho
JF-Expert Member
- Sep 17, 2019
- 2,319
- 4,146
Front 3 lazima waanze vs cityMiddle itakayoanza leo itatoa picha nan ataanza kwenye game ya city. Yaan mtu akikaa bench leo kuna uwezekano wa mkubwa kwake kuanza game ya City with exception of fabinho
I prefer
Gin-Milner-Faby
Middle itakayoanza leo itatoa picha nan ataanza kwenye game ya city. Yaan mtu akikaa bench leo kuna uwezekano wa mkubwa kwake kuanza game ya City with exception of fabinho
Leo Hendo atapumzishwa kwa ajili ya City!
Kwahiyo mechi ya leo haitoamua kikosi cha vs City
Game vs City Mido itakayohusika kwa 90% ni GINI - HENDO - MILNER
Mkuu sio kwamba baada Babu Fergie ni mourhino ndio amefanya makubwa hapo man United...makombe 3
Mkuu mourhino kafundisha 2016-2018,ndani yake kamaliza 2nd kwenye ligi na kabeba makombe hayo unasemaje hajafanya kazi kwa mafanikio an kumbuka tokea 2013 hiyo man untd haikuwahi kumaliza nafasi hiyo...Makombe matatu ila yote hayakuwa na competition
Ata Ueropa alikutana na mtelemko
Japo kwangu mimi naona van gal alijitaid sana
Hakuwah kufika namba sita uko
Na adi anafukuzwa alikabana namba na man city aliekuwa wa nne
Love is the destruction of duty
Hapa unazingumzia kudefend mwanzo mwisho
Diiih ed ,edd n Eddy diih umenikumbusha utotoni[emoji16]..It'll help us a lot kuliko uwepo wa Ox ndani, city watakuja anfield wakiwa hawana cha kupoteza
Sikuzote hapa tumeundiwa Majuku hewa ambayo anabambikiwa Hendo lakini hatutajiwi hayo majukumu bali utasikia "HENDO ANAPEWA MAJUKUMU MAALUM NA KOCHA"...
Sasa majukumu gani hayo yasiyojuilikana?? Hebu tutajieni basi tuyajue!
Gini huyu wa liver na watimu ya taifa ni watu tofauti kabisa najiuliza klop amjaribu more advanced role km anavyochezeshwa timu ya taifaGini anachezeshwa nyuma ya Hendo i.e. katikati (CM) akisaidia kukaba zaidi kuliki kushambulia coz klopp ameshambatiza Kuwa defensive minded.
But Hendo kimkakati alipaswa Kuwa na ststs bora kuliko Gini au Mido yeyote ile ya Liverpool kwani anachezeshwa kwenye more advanced role (Namba 8) ambaye analink kati ya Gini-Fabi na Front 3.
But due to his weak football skills anashindwa kuyaelewa majukumu yake.
Nakubaliana na wewe Kuwa Gini ni average player! But hatuna replacement kwasasa kwani mbadala wake pekee aliyepo kwenye bench ni Keita ambaye pia hasomeki kwani ana miguu ya vigae.
mbadala wa Henderson pekee aliyepo kwenye bench ni OX
Majukumu yanajulikana na yanaonekana kila mechi na nilijaribu kuelezea kwenye post yako uliyouliza kuhusu kwanini ox na keita hawaanzi ila wakiingia wanaleta mabadiliko.
hapa chini nimejaribu kuweka bandiko linalojaribu kujibu swali lako pia kutoka kwa Peter Crouch,Tafadhali naomba upitie
Liverpool 2-1 Tottenham: How 'relentless' Reds found a way to win - again
MOTD2 pundits Ian Wright and Peter Crouch explain how Premier League leaders Liverpool fought back from a goal down to beat Tottenham and continue their unbeaten start to the season.www.bbc.com
Mkuu mourhino kafundisha 2016-2018,ndani yake kamaliza 2nd kwenye ligi na kabeba makombe hayo unasemaje hajafanya kazi kwa mafanikio an kumbuka tokea 2013 hiyo man untd haikuwahi kumaliza nafasi hiyo...
Majukumu yanajulikana na yanaonekana kila mechi na nilijaribu kuelezea kwenye post yako uliyouliza kuhusu kwanini ox na keita hawaanzi ila wakiingia wanaleta mabadiliko.
hapa chini nimejaribu kuweka bandiko linalojaribu kujibu swali lako pia kutoka kwa Peter Crouch,Tafadhali naomba upitie
Liverpool 2-1 Tottenham: How 'relentless' Reds found a way to win - again
MOTD2 pundits Ian Wright and Peter Crouch explain how Premier League leaders Liverpool fought back from a goal down to beat Tottenham and continue their unbeaten start to the season.www.bbc.com
Mkuu kwani majukumu tofauti na kucheza mpira uwanjani ni majukumu yapi mengine mchezaji anapaswa kuwa nayo?
Yaaani ndogo kipaji kipo Sana tu ishu je ataweza kukaa mbali na meza ya madaktari...Keita asipoumia tena sijui...anahuzunisha yani na injury zinakuwa nyingi kama yaya sanogo wa arsenal ya Wenger mwishowe atasahaulika kama Nathaniel.
There is something about Gini vs Manciiti the boy comes alive and lively..I prefer
Gin-Milner-Faby
It'll help us a lot kuliko uwepo wa Ox ndani, city watakuja anfield wakiwa hawana cha kupoteza
Kama kawaida yako ndugu...Leo kuna come back apa..
Kila la kheri Samatta..