Mkuu apa ndo unakosea
Hawa ni watu wawili tofaut
Hendo is more of a defensive midfielder while Scholes is more of ana attacking midfielder no matter what formation or to what position you put them in
Ndo maana kabla Fabinho hajazoea ligi na miguu haijakaa sawa uwanjan namba yake akawa anacheza hendo
Mfananishe Ox na scholes, Hendo mfananishe na micheal Carick
Christian Poulsen
Brad Jones,M.Kelly,Fabio Aurelio,Jonjo Shelvey,J.Cole,R.Babel,C.PoulsenM.Jovanovic.
Pamoja mkuuGini Hapana, The Guy ni moja kati ya watu wazuri tulionao...
Gini yuko poa sana
Fernando Morientes
Sinama Pongole
Aisee hii ya handball klopp kaiongelea
Aisee hii ya handball klopp kaiongelea
Aisee bado humu tunabishana kuhusu uwezo wake?Liverpool fans are savage! hahaha!
This is Club's captain for God's sake.
...and cant believe kuna watu wame-vote VVD/Mane and Alisson, hahah!
View attachment 1252427
Hendo ni Defensive Midfielder????
Ulikuwa ukiangalia Mpira kabla ya kuja Klopp Liverpool??
Kabla ya Klopp Hendo hakuwahi Kuwa Defensive Mid katika career Yake yote!
Ni Lucas ndiye aliyempokea Mascerano kucheza DM.
Baada ya kuja Klopp ambapo tayari Lucas alishapoteza uwezo ndiyo Klopp akawa anamchezesha Henderson kwenye hiyo DM ambaye siyo natural position Yake.
Klopp alipopata DM (Fabinho) akamrudisha Henderson kwenye Natural position Yake.
Kwahiyo Henderson siyo DM kama unavyosema! Ni sawa na kusema Milner ni Left Back kwasababu tu alicheza msimu mzima wa 2016/17 kama Left Back.
So kucheza as a make-shift DM ndiyo kunakufanya kuwa complete defensive MF?
SG played as a 6 msimu wote wa 2013/14 under rodgers, so kunamfanya awe "more of a defensive MF?"
unaelewa hata maana ya "more of a defensive MF?".
for the last 8 years at LFC (except 17/18 and baadhi ya games 16/17), Hendo amecheza as a B2B. kitu gani kinakufanya useme ni "more of a defensive MF?"
not claiming to know more than Klopp or anything as he's up there managing the Football club i love, and he's getting paid millions to make sure tunashinda kila game.
but, that doesnt mean, siwez kuwa na opinion au kutokubaliana na Klopp kwa baadhi ya vitu, as itafika muda ataondoka na ataniacha na LFC, so as an ambitious fan nataka siku akiondoka aiache club katika Misingi bora na wachezaji wenye uwezo. i support LFC not individuals, but i love individuals ambao wanaipa hii club mafanikio kila siku, and Klopp ni mmoja wao but sadly Henderson siyo mmoja wao.
and, i watch footie with my own 2 eyes, na naona kuwa Henderson is not good enough, but i've never once said Klopp is/was a shit manager for picking him kwenye first XI. because ninachoangalia mimi ni ushindi tu, as my Club comes first.
but, Henderson is a SHIT FOOTBALLER.
if you think, i'm so bitter about Hendo/claiming to know more about Klopp, then hit that ignore button brother. its just footie by the way.