Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,464
- 32,909
Any Liverpool fan will trade EPL triumph over any other trophy.. But in the mean let's enjoy the ride as the games come thick and 1st all is good so far...Sa
Sahih kbs Mkuu ila kule carabao awe anacheza milner na lallana pamoja na Orig tu lkn Ox,keita, wasipelekwe kule kbs maan mwak huu naona kila dalili ya kutinga hatua nzur UCL maan timu nying za European still ni uchafu TU yaan tunakila sababu ya kulisogelea tena kombe la UCL so we have to strengthen our squared by avoiding to include some of our players in trash and shit compitation like carabao ,but all in all EPLfor us is Still unanswered cry
Villa vs Liverpool always a cracker game...Kila mtu abaki na mjadala wake kichwani mwake.
Tunao amini hendo ni weak tutaamini mpka mwisho, walikumbatiwa kina mignolet kina moreno sasa kimya.
Na wanaoamini Hendo ni bora waamini pia vivyo vivyo,
baadae na aston villa.
itategemea na line up kwenye mid they (villa) have energy kucheza na city around 45 min bila kuruhusu goli kwa promoted club sio jambo dogo .
Tujipange.
WIN is a WIN
YNWA
Villa not an easy opponent away..Mistake zishaanza. Umakini unahitajika.
As usualShaky Hendo
Kukimbiza wapinzani na kunyoshea wenzie vidole ha ha haaa labda ndo jukumu lake hiloHata sijakuelewa umeandika Nini mkuu maan kila kipengele umelamba na kuacha so nijibu hoja ipi hapo ,uwezo was hendo kukaba??role anayopewa hendo?? Mim kujikuta najua mpira??(ingawa sijasema mim najua) au mim kutoa mawazo yangu siruhusiwi hapa
Afu watu mnaomtetea hendo muwe mnaleta stats bas sio kulia lia tu
Mtu hafungi(kufunga ni mara1 per season),hatoi assist,haintercept,hapigi tackle, Sasa kumbe kazi yake ipi uwanjani as a CM
Mkuu utakua na jicho la tatu wewe naomba unambie ubora wake nijifunzeKwa hili la Hendo kuna watu nikiwaeleza kama ulivyoeleza huwa hawaelewi mpaka najiuliza kwa ubishi wao walipataje kumaliza hata LA saba[emoji23][emoji23]
By the way Hendo anakuwa nje ya lawama akicheza kiungo cha mbele like kipindi cha kina Suarez na Sturridge, hata sasa baada ya fabinho kufit-in naona ubora wake.