Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Punguza povu mzee
 
Punguza povu mzee

Kwani lazima uandike na wewe ujulikane upo????[emoji23][emoji23][emoji23]hata ukilike comment za wenzio tu tutajua uwepo wako mkuu[emoji16][emoji16]
Sasa hapo povu lipo wapi???hivi kwanini mtu unakuwa tayari kuondoa hadhi yako ilimradi tu utetee kile unachokipenda hata kama ni batili🤨🤨🤨
 
Naona unaendelea kutoa povu, anyway pole sana
 
Isije ikawa ya Essien[emoji38]
Hahaha yaaani hawa RB wametupiga Mkuu si bure...

Huyu ni babu tu aisee Klopp ahesabu hasara mapema tu endapo majereha haya yataendelea kujirudia...

Kwa sasa Liverpool mchezaji bora asiekua na majereha ya 'hovyo' ni Mane aisee hapa Southampton hawajatupiga
 
Trash
Absolute trash
 
Ohhh Buvac ndiyo kilikuwa kichwa cha Klopp-Mkapata aibu
ohh ukiunganisha Barca na Liverpool hamna mchezaji wa Liver ata anza- mkapata aibu
Ohhh Klopp hajawahi shinda final-Mkapata aibu
Ohh Hendo hana uwezo wa kuongoza team kwenye mafanikio -mkapata aibu
Sasa mnaenda kupata tena aibu ya mwaka,Hendo ananyanyua kwapa May kuchukua EPL
Na msivyo na aibu mtaweka picha zake ananyanyua kwapa kama mlivyo weka picha za UCL
 
When will these fuvking arguments stop?
 
Yaani humu ndani kuna mashabiki wananishangaza sana, wanajifanya wanajua kuliko klopp...
wao ni kutaka hendo aondoke, mara akae bench, hawajui sababu ya klopp kumuweka na timu inashinda...
Wenyewe kila siku wanalilia usajili na kusahau kuwa kila mchezaji mpya atahitaji muda aweze kuendana na falsafa ya mwalimu na akishindwa ni hasara kubwa....yaani tabia za mashabiki wa MAN U zimehamia humu...kutaka kila kitu (TAMAA)..TUBADILIKE...kama mtu unaona huendani na falsafa ya klopp unataka afanane na PEP...Hamia kwa PEP
 
Roy Keane alipata kusema kwamba Hendo alitakiwa kuwepo studio na sio uwanjani and by the way hiyo ilikuwa ni katika mechi za kimataifa Hendo akichezea England national team
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…