For the future kaka...Huyu brustar humu uwanjani sijui wa nini?
Jones jembe jomba si mchezo...Curtis Jones very good..
naona leo alvotolewa oxlade tumerud kucheza very old formation ya 4-4-2 tatizo ni hii defense sasa
Kipa wetu sasa Hahaha...Ah, angalau tumeondokana na hii aibu. Asante Origi.
Hawa watoto bado sanaaa




Ah, angalau tumeondokana na hii aibu. Asante Origi.
Hawa watoto bado sanaaa