Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hapo kwa Chelsea ushaharibu maana kuna vijamaa vitakuja mbio mbio hapa sasa hivi....

Cc. @Ollachuga

Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Jamaa acha wivu. Mtaalamu wa kubashiri Malafyale ameshatoa utabiri wake. Tafadhali usipingane nae.
 

 
Nilikuwa safari kidogo
Sasa nimerudi home Ikwiriri
May 2020
Bingwa Liverpool
wa pili Chelsea
Wekea nyota hii msg

Bro karibu nilikuwa najiuliza yule jamaaa mtabiri maarufu wa liverpool siku hizi kapotelea wapi?.

Kumbe ulikuwa chimbo?

Karibu sana. Pia hongera kwa ushindi dhidi ya Spurs.

Mapambano yanaendelea. Aroon wa asernal naona amejipiga ban. Baada ya utabiri wake kugonga mwamba

Alikuwa akiubiri baada ya mechi 10 chelsea atakuwa nafasi ya 15. Toka last week sijamuona.
 

Naona umekutana na Post unayoipenda kutoka kwa Malafyale umefurahi
 
He is still a bam that super known hii one moment wonder can't change that
 
Adimu sana mzee baba,
Naona wale antiHENDO wanachungulia kwa mbaaaaaali kwa jicho moja....hahahah

Hongereni kwa ushindi wana Liverpool wote.


UNAI OUT
Je Xaka nae vipi Mkuu Dully...

Ipo shinda sasa nimekwelewa naona Oxil nae nje..

Ipo shinda
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…