Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Wow this bald Samba boy Leo hana kumtoa kwenye MOTM
 
I totally concur with you, boss.
 
Game ya pili hii tunaokolewa na magarasa yetu Lallana na Hendo resp
Nilisema kila mchezaji ni muhimu na ana siki yake ya mchango wako...sawa wana makosa kila mtu anayo but nao wana mchango pia kwa timu. So support ni muhimu kwao.
Lallana yuko poa ni majeruhi tu ndo yalimrudisha nyuma.
 
Game ya pili hii tunaokolewa na magarasa yetu Lallana na Hendo resp
That was a penalty and possibly a card before he scored

But credit to Henderson, he was very poor in the first half

It just shows how scoring changed our perception Kwa Henderson.... But he is poor and doesn't NOT deserve a place in the starting 11
 
Hivi mumeona alichokicheza Henderson mpaka akapoteza mpira uliozaa goli?

Then anatokea Boya anasema Henderson abastabilize Timu! Yani ni ujinga tu.

Nataman ata siku moja nikuone
Maana unaonekana ni mtu usie na kazi na usie na mbele wala nyuma zaid ya kukaa vijiwen na kuongea mada zisizo na faida
Mda wote unaandika mambo yasio na faida kwako na wala watoto wanafamilia wako

Na mambo yenyewe unayaandika bila ufundi wowote bali kuangalia tu kwa upeo wako mdogo wa akili ulionao
Anyways, kila mtu na maisha yake,
Lkn i can clearly picture yur life
 
Wakuu hivi mnakumbuka mara ya mwisho Liverpool kufungwa goli la mpira wa kona kwenye epl?

Liverpool tuko vizuri sana kwenye kuzuia hiyo mipira ya kona ,yaani pakiwa na kona sinaga wasiwasi kabisa najua vvd anaokoa hiyo au matip.watu wakiwa wanashangilia wamepata kona me nakuwa nacheka kabisa najua kabisa hakuna goli hapo .
 
Wabongo wengi hawana akili
Akili za wabongo nyingi ni kama za King Ngwaba
Yaani ni watu wanaofikiri kirahisi tu, kuwa huyu leo kacheza vizuri ngoja acheze, au biashara hii imefeli ngoja niiache
Ni watu wanaoingia kwenye mitego nila ya kujua wamejiingiza, ni watu wanaodhani kuwa wao ndo wanaojua vitu kuliko yoyote na wanaweza kufanya maamuzi kuliko yoyote yule,
Ni watu ambao wanaendeshwa na hisia kuriko akili
Watu kama hawa nadeal nao sana ndo maana nakuwa tajiri siku adi siku
Ni watu wanaodhani wanaweza kuichukua mikoba ya ukocha wakafanya timu iwe noma kuliko tim zote duniani

Anyways kila binadam anaishi kwenye ulimwenyu ambae yeye ndo centre of everything na hii humpelrkea kujua ndo brightest than anyone
 
Mkuu ni mpira tu au una mengine toka moyoni maana unatukana wabongo wote kisa mtu mmoja tu ambae ameweka hoja zake mezani!!? Mbona ni wengi tu hatuna matatizo na Henderson japo madhaifu anayo mengi tu na yanaonekana wazi,mjadala mzur ni ule wa hoja kwa hoja Ila hizo unazozileta ni person attack ambazo sio nzur humu maana wengi hatufahamiani Ila tunajaribu kuongea lugha moja maana tunashabikia lfc sasa ukianza kusema akili zetu wabongo!!!kwani ewew mwenzetu ni mzungu wa wapi!!?
 
Chief mbona hata leo tumefungwa goli kwenye epl!!?au ulitaka kumaanisha Nini!!?
 

Tatizo la mashabiki wengi wa liverfool wanadhani wanajua kila kitu kuanzia mpira,utajiri,elimu na upuuzi mwingine ndio maana kwenye jukwaa lao wakipishana kidogo tu wanaparuana kama wajinga tu.
Nadhani humu matumizi ya lugha ya malkia yapunguzwe maana wengine hawaielewi hivyo wanahisi kutukanwa kidhungu,wanafyatuka kama wendawazimu.
 
Para yako ya mwisho umeandika vyema pmj kuwa inapingana na uhalisia wako ulivyo
Na inaonekana una ugomvi binafsi na king ngwaba nashauri ungemuandikia huko dm kuliko huku kwani kuna heshima unajikosea mwenyew
Wanaohoji na walioponda uwezo wa Henderson ni wengi ktk jukwaa hili,ila wewe umemuona ni king pekee
Pole binaadam mwenzetu na najua ndo ubinaadam ulivyo"huwezi pendwa na wote pia kupenda wote"
 


Ndugu tajiri mbona unajazba sana!?
 

Mkuu sio wabongo tu
Ata wazungu pia wana hayo mambo tena wale ndo wana passion kuliko sisi kitu kinachofanya waamini kitu cha kijinga wakidhan wako right
Wanaoongoza kumtukana Hendo ni wazungu, ila kati ya hao wote wanajikuta wanajua ni ngum mtu kumreplace Klop, maana najua Klop anaangalia na anajua mchango wake
Nimesema wabongo maana ndio watu nilionao karibu ndo naobishana nao
Mwingine mpaka anakuja kusema Eti kisa Hendo kashinda basi OX na Keita wasahau kucheza, ivi huyo mtu ana akili kweli
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…