Henderson hakuwahi kumzibia TAA nafasi yake hata siku moja na ndiyomana unashindwa kutoa mifano ya Matukio kwa Mechi kadhaa kuhusu Henderson Kumzibia TAA nafasi Yake pale anapopandisha Timu kushambulia.
Siku zote Mtu anayeshindwa kudifend anachokiamini huishia hivi kusema habishani kipumbavu.
Henderson yeye mwenyewe alisema hadharani kuwa anafahamu mashabiki hawampendiDeep down nilijua tu nabishana kijinga na ww
Deep down nilijua tu nabishana kijinga na ww
Mzigo weekend hii uwakika na hii baridi tena ..kuna pantera nne zitaungua..[emoji3][emoji3][emoji3]Mkuu naona muda huu haujavuta, au ndo unajiandaa kwenda?[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Umeibuka na moshi wako kichwani, aiseeeee [emoji38][emoji38][emoji1][emoji38]Hii VAR msimu uliopita ilikuwa upande wa Spurs sana ..msimu huu naona inaenda upande wenu tu ..hongereni kwakweli..
Naona umezidiwa hoja sasa unaleta viroja.Deep down nilijua tu nabishana kijinga na ww
Deep down nilijua tu nabishana kijinga na ww
Naona umezidiwa hoja sasa unaleta viroja.
UKIONA UMEZIDIWA HOJA KUWA MUUNGWANA KUBALI .
Nimesoma hoja zako na king ngwaba naona kabisa Wewe umezidiwa hoja kwasababu mwenzako ameleta na "reference" kabisa. Ila Wewe umeleta maneno tu.
Bila reference hapa ni kama utakuwa unapiga kelele tu.
Mpira ni sayansi
Liverpool basi ndio timu ya ajabu kiungo mchezeshaji/mshambuliaji anaacha majukumu yake eti ili awe beki msaidizi pale beki wa pembeni akipanda. Na huu utakua ufala kujaza viungo ili wafanye kazi ya mabeki, what is the meaning/responsibilities of fulbacks and midfield btwNiko bizze mzee, wenzako tunajenga taifa, kukaa kubishana upumbavu ni bure
Ila ka hujui mostly Henderson hushika nafasi ya Trent akipanda
Siwez kubishana, nina nambo mengi
Siku zote Mtu anayeshindwa kudifend kwa hoja kile anachokiamini huishia na personal attack kama njia ya kumdhoofisha anaejenga hoja.
Kawaida ya Mwerevu hujibu hoja kwa hoja (Debete/Discussion).
Lakini muongeaji bila ya Facts ndiyo huhisi kila kitu ni Argument kwake na Ndiyomana hukimbilia kwenye kuattack Mtu badala ya kureasoning.
Sawa wewe niite Mjinga, Mpumbavu ili ujidhihirishe Kuwa Wewe ni Mtu wa aina gani.
King Ngwaba kaniudhi sana, eti ka suggest Hendo abaki kama subMvumilie tu mkuu, maneno yake hayaondoe ukweli kwamba Henderson na wanatakiwa kuondolewa liverpool tena bure, hatutaki fees yoyote ile
King Ngwaba kaniudhi sana, eti ka suggest Hendo abaki kama sub
Siku zote Mtu anayeshindwa kudifend kwa hoja kile anachokiamini huishia na personal attack kama njia ya kumdhoofisha anaejenga hoja.
Kawaida ya Mwerevu hujibu hoja kwa hoja (Debete/Discussion).
Lakini muongeaji bila ya Facts ndiyo huhisi kila kitu ni Argument kwake na Ndiyomana hukimbilia kwenye kuattack Mtu badala ya kureasoning.
Sawa wewe niite Mjinga, Mpumbavu ili ujidhihirishe Kuwa Wewe ni Mtu wa aina gani.
Aisee hivi mla pili pili ndio shinda ama hana majembe ya kazi ya Kutosha Sana Sana pale defence naona bado panayumba...Chambo hahahaha rudi kundini moyo wako ni gunners mtupu ,siku huyu akirudi pale na yule mla pilipili akisepa akija mtu aina ya Nuno hahahhahaha mjiandae kufuta vumbi kiti cha mfalme
Mkuu mpaka sasa tumegeuka timu ya mihemko eti sikia hii Lallana anaandaliwa mkataba baada ya kufunga OT....Yote kwa yote yasemwe ila Henderson na Lalana wanapaswa kutolewa January bure kabisa, yaani watolewe bure kwa sasa hawa hadhi ya kucheza hata liverpool B
Hahaha this bum should be sold ASAP Jan 2020King Ngwaba kaniudhi sana, eti ka suggest Hendo abaki kama sub
Milner kiraka kile. Achana nacho kabisaMkuu mpaka sasa tumegeuka timu ya mihemko eti sikia hii Lallana anaandaliwa mkataba baada ya kufunga OT....
Sijui ni magezati tu ama ndio msimamo Wa timu...
Kama msimamo Wa klabu basi ipo shinda kuu
Rodgers aje TUMPE hata bure Lallana na Hendo, Lovren na Milner