Liverpool FC (The Reds) | Special Thread


Not only OT even ndani ya Anfield tunapataga Wakati Mgumu sana Kumfunga Manure.. Ukiangalia tokea Klopp ajiunge na Liverpool tulibabatiza Magoli last season tu lakini misimu yote iliyobakia either alitufunga au kudraw ndani ya Anfield.

Kiukweli Klopp bado hajapata Mbinu haliisi ya Kumfunga Manure.

Bado anaendelea kufeli
 
TOTAL failure kutowafunga jana au mechi yoyote dhidi ya Manu wakiwa katika hali waliyo nayo hawana identity just a bunch of kids and some seniors...

Klopp hili linamtia doa kabisa hana cha kujitetea
 
Nilimuona Ox kijana wangu Akiwa Amezaliwa Upya.

Naby Deco K8ita Yule Wa Leipzig akiwa Na Udabwi dabwi.

[emoji2956][emoji2956][emoji2956] Dakika Kumi_Zamoto* [emoji440]
Sipati picha hawa jamaa wawili Keita na Ox wakiwa bench hujisikia vipi wakimuangalia Hendo uwanjani running like headless chicken..

Itakua inawauma Sana aisee..
 
Van djik anawaumiza roho sana,na msimu huu mtaumia roho sana tu.na timu yenu mbovu hiyo.bado point mbili tu mshuke daraja yaani tofauti ya point 2 tu wewe na Newcastle anayeshika nafasi ya 18 nakukumbusha tu.
GUADIORA
 
Var haina maana bado bado eplView attachment 1240328
Na bado, mnakumbuka ilivomnyima man city point tatu wakat yupo na spurs?

Mnakumbuka ilovowabeba ile penalt dakika za mwisho na lecister city?

Hiyo hiyo ndio imewanyima ushindi pale OT,

Var, inatafuna kila mtu, ni swala la muda tu, hata bingwa anaweza kupangwa kupitia mgongo wa var....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…