Sisi tuna wachezaji wengi sana wengine acha wakatafute maisha uko ..moses nadhani Yuko kwa mkopo ...

Sisi kupanda na kuwatoa apo juu ni suala la muda tu...

Kesho ukipigwa na City akikupiga halafu ukaja draw gemu kama tatu ivi, baaas kwishineii
Hahahahahahahahah hatari sana.Hizi Probability sio za kawaida.
 
Na game vs Man City (5 - 0) huyu the so called Lovren alitusababishia unwanted record ya Klopp kupigwa 5 - 0 na shit club kama Man City
Haha... Kabla Mane hajapewa kadi nyekundu walikua wafe tu pale.. Ile kadi ilabadilisha kabisa ile gemu..

Naamini Kwa VAR ile sio kadi nyekundu..

Mara pap Lovren a naanza OT.. 🙄🙄🙄😢😢😢😢🙊🙊🙊🙊
 
Haha... Kabla Mane hajapewa kadi nyekundu walikua wafe tu pale.. Ile kadi ilabadilisha kabisa ile gemu..

Naamini Kwa VAR ile sio kadi nyekundu..

Mara pap Lovren a naanza OT..
Umenena vyema na ukweli Ile game ilibadilika baada tu ya sadio mane kupigwa red...kwa timu inayoshambulia Kama man City ukiwa pumgufu kupigwa nyingi sio ajabu....lkn si unaona tulivyorudiana tuliwapiga plus tuliwapiga nje ndani uefa.kama sikosei hizo mech lovren alicheza
 
Zile mechi za Uefa nadhani mpaka Leo Pep anaziota maana tuliwapiga wakiwa moto Sana...

Lovren ana gundu na Manciti... Januari 2019 Wakati tunafungwo Ethad 2 - 1 na ndio mechi ya kwanza msimu 2018-2019 tulifungwo kwenye ligi Lovren alisinzia kama kawaida yake Aguero akatumaliza.. Pia goli la Sane alishiriki upande huo huo Wa kwake...

This guy gives me goosebumps nikimuona matching on game day...
 
Kumbuka ..Huu ndo msimu Bora kabisaa wa ichi kiumbe... connect na chances zinazotengenezwa alafu nyuma Kuna Ali magwaya
enrouteanfield-20191012-0001.jpeg
enrouteanfield-20191005-0002.jpeg
 
Zile mechi za Uefa nadhani mpaka Leo Pep anaziota maana tuliwapiga wakiwa moto Sana...

Lovren ana gundu na Manciti... Januari 2019 Wakati tunafungwo Ethad 2 - 1 na ndio mechi ya kwanza msimu 2018-2019 tulifungwo kwenye ligi Lovren alisinzia kama kawaida yake Aguero akatumaliza.. Pia goli la Sane alishiriki upande huo huo Wa kwake...

This guy gives me goosebumps nikimuona matching on game day...
Sidhani Kama kesho huyu klopp atacheza Tena kamar ikiwa matip yayar yupo fit,Sina amani Sana na mechi ya kesho lkn kwa mbali Sana nauona ushindi.uzur kipind hiki vijana wenyewe Wana Moto wa kutaka matokeo so angalau inatupa ahueni na sisi mashabiki huku nje.tukimpiga huyu boys kwake kesho Kuna kitu ntaanzz kukiamini kinaweza tokea.
 
Kabisa ndugu... Leo sitarajii kamali ya upangaji kikosi..

Bado masaa tu Ole azeeke ghafla...
 
Sidhani Kama kesho huyu klopp atacheza Tena kamar ikiwa matip yayar yupo fit,Sina amani Sana na mechi ya kesho lkn kwa mbali Sana nauona ushindi.uzur kipind hiki vijana wenyewe Wana Moto wa kutaka matokeo so angalau inatupa ahueni na sisi mashabiki huku nje.tukimpiga huyu boys kwake kesho Kuna kitu ntaanzz kukiamini kinaweza tokea.
Ila leo naona kabisa lovren akipangwa....ila naomba kloop asimlazimishie salah kucheza leo. Kama hayuko fiti asubiri tu genk j5. Ampe lallna shavu hilo au hata dogo Eliot yuko poa amkimbize babu young. Maana hata hvyo salah mechi za Man u anakuwaga wa kawaida sana.
 
Mkuu kwangu Lallana kabisaaaa hapana bora hata Origi au Ox au Keita

Elliot sina uhakika ana adhibishwa na klabu baada kukumbali hatia juu ya post yake fulani dhidi ya Kane..

Kuhusu Salah Klopp alisema bado hana uhakika kama atacheza Leo pengine mpaka muda Wa gemu atakua kashafanyiwa fitness test ya mwisho...

Lovren lol ajikwae hata bafuni tu kwa Leo bora aibukie Genk..

Man U wana amini Leo ndio wanaanza ligi rasmi hivyo Leo Kwao ni Jihad..
 
Ila leo naona kabisa lovren akipangwa....ila naomba kloop asimlazimishie salah kucheza leo. Kama hayuko fiti asubiri tu genk j5. Ampe lallna shavu hilo au hata dogo Eliot yuko poa amkimbize babu young. Maana hata hvyo salah mechi za Man u anakuwaga wa kawaida sana.
Duh me mkuu niko tofauti kidogo na ww kwa lallana kuanza haipendez bora aanze shaqir maan hua ni mtu anaewaza timu ipande ikashambulie karibia muda wote ikishindikana kbs akae hata keita
 
Back
Top Bottom