Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Wewebutakua hujaelewa wenzio NI HIVI HENDO ANABEBESHA WENZAKE MZIGO MZITO YANI ILI TIM ISIFUNGWE WANAMSAIDIA KWENYE JUKUMU LAKE UTAGUNDUA MAMBO YAKIWA MAZITO SANAA KOCHA HUMTOA.


yani tukipata mtu anae fit tunashinda huku tuna burudika yani tungetawala sehem mkubwa ya mchezo.

Akiumia mda mrefu nafasi yake awepi Keita naamini utainjoy sana tu
 
MANE KUHUSU HAMAKI YAKE DHIDI YA SALAH SIKU ILE DHIDI YA BURNLEY.

"Ilikuwa ni kutoelewana, nilitaka tu kuisaidia timu".

"Angalia timu kama Manchester City, wakati mwingine wanafunga magoli matano au sita. Kama kuna uwezekano wa kuiua mechi mapema kabisa basi wote wanajaribu kufunga magoli mengi mengi. Nadhani hilo ndilo la muhimu, na nilifadhaika kidogo".

"Tuliongea, na kila kitu kilikuwa kama kawaida. Tuliongea sisi wenyewe, na kocha aliniita ofisini kwake na tukazungumza. Nilimwambia kila kitu kilishatatuliwa na alishangaa huku akifurahi".

Akizungungumza na kituo cha michezo cha Canal+Sport kupitia kipindi chao cha Sport Witness, Mane pia alielezea Salah alichofanya baada yeye kukasirika.

"Aliniambia, lakini Sadio kwa nini una hasira?"

"Nikamwambia ulipaswa kunipasia mpira, Mo, ambapo akajibu 'sikukuona'. 'Unajua sina chochote dhidi yako' ".

"Nilijua hilo lakini jinsi alivyonijibu ikawa ajabu kidogo kwangu (Sadio anacheka hapa)".

"Siku zote tupo bega kwa bega. Yeye ni namba 10, mimi 11. Wakati mwingine tunatumiana meseji. Tunaongea hata kwenye simu, lakini hatuna tatizo".

Mane pia ameelezea jinsi Wijnaldum ambaye hupenda kama kukoleza petrol kwenye moto jinsi alivyoenda kushindilia baada ya wawili kuonekana kutoelewana.

"Kila mtu alikuwa anatuweka sawa".

"Wijnaldum ambaye hupenda kuchokoza watu, alisubiria mpaka kila mtu yupo pale kwenye vyumba, akaja kwangu na kuuliza kwa kwa sauti kubwa 'Mo Salah kwa nini Mane alitaka kukupiga?' Basi timu yote ikaanza kucheka".
 
Atavuruga wenzake kifikra bora asiletwe
Hii issue ya Coutinho inazingua kweli! Kama vipi FSG si wamlete tu Coutinho
Yani aitose tim kisa haina mafanikio wenzie wapambane wana anzakufanikiwa arudi apewe nafasi ki ubinadam hapo unaonaje mkuu?

Bora atafutwe mtu mwingine kuliko yeye nimemona Bayen kawa mvivu sana hatufai hata kidogo.
 
Dah story nzuri hasa hapo kwa Wijdnadam
 
Katika gemu kadhaa mlizokutana na Man united tangu msimu wa Van Gaal mumeshinda game moja tu...iyo inaonyesha ni jinsi gani Man united ilivyo bora mbele yenu ...

Ivyo basi, tunategemea Man united kuendeleza rekodi ya ushindi dhid yenu na hili halikwepeki ..

Mbele ya hawa kinda machachari Rashiford, Lingard na Marshall tunategemea ushindi mnono...

Rashiford atakwenda kutumbukiza goli zake mbili na kukamilisha mzunguko mzima wa idadi ya magoli anayofunga kwa mwezi {maana tumeona mwezi jana kafunga goli moja tu ivyo tunategemea mwezi huu wa Oct atafunga goli mbili (2) na yote ni weekend hii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]}

Come on Man united[emoji123][emoji123][emoji123]
 
Hilo hata mimi ukichunguza utaona kbsa simkubal... lakn kwasasa ndie tunae so haina budi kusapot lkn once keita akiwa saf naona haina haja ya kuwa nae.

Pia hata kma hayuko vzuri sio kiasi hiki ambacho watu wanasema,
ila nilitegemea hv maana kazungukwa na watu wanao jua zaid kwasasa ndio maana hz mambo zmekuwa kubwa zaid misimu hii ya karbun.

Nilkuwa namchukia sana hendo but wadau wanamshusha mpk kero
 
Aendelee kuzurura tu huko na kuwa wa mkopo
Kulingana na Mahitaji yetu Coutinho anaweza kutufaa.

Pia kwasasa siangalii Mchezaji alifanya nini before bali ninachoangalia ni Atatusaidia vipi kuipora EPL kutoka Kwa Pep.

Kwahiyo Bora tu Coutinho January atue au even next summer
 
Acha bange
 
Aiseeh we jamaa unakaba mpaka kivuli.....yaani nukta kwa nukta ,koma kwa koma...

Sijui kwanini ila mimi namkubali sana le captain nafikiri kuna uKLOPP ndani yangu
 
Bro huu ni mpira yaani kila nikisoma post yako wewe chuki yako ipo kwa Liva tu. Appreciate kwa mafanikio wanayoyapata kwa sasa kwani kila timu ina zama zake za kutamba. Kosoa pale unapoona kuna kasoro sio kuponda tu. That is unprofessional
 
kaka mido zetu zinafanya cover full back weki ambao kwa staili ya livwr tunashambulia na kucreate kupitia wingbacks mbona lipo wazi hili....Gini/milner huwa wanacover rober na hendo wanacover trent huku wakifanya ball recycling ...ni muhimu pia kufuatilia na forums za timu zingine kujifunza kitu,kwa mfano city wanajiuliza kwanini liver hawapati serious majeruhi kama wao?.
reason ni kwamba workhorses wetu ni gini,hendo,milner,fabinho na ni hawa klopp anawarotate kwa sababu kazi wanayoifanya siyo mchezo,nafikiri anataka kumuongezea OX hapo ili waweze kumaliza msimu mzima.Umeshawahu kuangalia siku akianza keita jinsi trent na robo wanavyo struggle kupanda mbele???
 
Tatizo la Ngwaba haangalii kwa jicho la tatu,huyu hendo atamwelewa tu.....
 
Nimeshuhudia zaidi ya 50 za Liverpool vs Man United na Joto lake ninalijua.

Kwahiyo hii mechi kwangu Mimi Inanipa Pressure sana yani siwezi kuitabiri hata kidogo.

Kupoteza ni rahisi sana.
Acha kutushika mkuu ..wewe mpira utakuwa umeanza kuujua miaka ya 2005 apo ...sasa ni game 50 zimefikaje ..

Enewei Man united 3-1Liverpool
 
Shida yake huyu ollachuga ni sigara bwege, so nakushauri uachane naye apayuke ovyo, maana ukiwa serious sana na huyo jamaa unaweza jikuta umegua [emoji38][emoji38]
Bro huu ni mpira yaani kila nikisoma post yako wewe chuki yako ipo kwa Liva tu. Appreciate kwa mafanikio wanayoyapata kwa sasa kwani kila timu ina zama zake za kutamba. Kosoa pale unapoona kuna kasoro sio kuponda tu. That is unprofessional
 
Shida yake huyu ollachuga ni sigara bwege, so nakushauri uachane naye apayuke ovyo, maana ukiwa serious sana na huyo jamaa unaweza jikuta umegua [emoji38][emoji38]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]acha masikhara mkuu ..kwani Man united mutamfunga??? Mimi naona kabisa maajabu yatatokea ..ile game ndo itaamua mubebe ligi huu msimu ama laah...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…