Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hii picha Haiprove chochote hapa unless wachezaji wakae/wagande bila ya kutembea kama zilivyo hizo image za kwenye picha.

Huu ni mfumo gan na mimi nilkuwa naongelea mfumo gan,

Tusibishane tukaonekana hatuna akili nzr, baki na unachojua ka hutak kuelewa
 
Mkuu bilashaka una undugu na Mwl. Kashasha [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kitendo alichotufania Coutinho ni cha kishenzi sana, kumbuka anaondoka January, wakati timu inamhitaji kwa sana, lakini akatukataa akaona atukimbie, kuondoka January kwa mchezaji mnayemtegemea kama yule kipindi kile ni kitendo cha kigaidi sana, mwacheni tu astrugle huko, naamini ipo siku tutatengeneza Coutinho mwingine tu ndani ya timu
 
Yule namchukia mpaka kesho
Kuna mechi moja vs Manu akaingia Steve sub mara pap akapewa kadi nyekundu...

Kuna mechi nyingine Shevley nae kadi nyekundu...


Haha siku hizi hizo kadi hazipo kabisaaaa.... Japo tangu Klopp aje tumekua na rekodi nzuri mno ya nidhamu uwanjani kama msimu uliopita Liverpool ndio tuliongoza EPL Kwa kupewa adhabu ya kadi chache mno..
 
Wachezaji wengi walioforce kuondoka liverpool walifail kudeliver maisha yao ya soka, tukimuondoa sterling tu angalau angalau akupotea sana
Emre ndio huyoo Man U wanamtazama pengine January wapeleke ofa.. Kuachwa kwake kikosi cha Bibi Kizee kushiriki UCL kumemvuruga mno...

Huyu na C10 si bure waje wamwangukie Klopp awape baraka zake Hahaha
 
Ndugu yangu huwa siwez ubishi..

Hendo msimu uliopta kazdiwa na watu wa3 tu kwenye kikos chetu kwenye long ball, msimu wa 2013/14 alkuwa na goli 4 na assist 6+ ambazo sio mbaya so jiulze tatzo liko wap saiv, msimu huu statstcs zake sio nzuri pia ni mwanzo wa msimu tusubir.

Ukiacha kumlinganisha hendo na mids wengne wazur tunaweza ongea, kwa sasa we endelea kutaka awe bora kama wao ama kutaka tuwe vizuri kila sehemu,
 

Kulingana na Mahitaji yetu Coutinho anaweza kutufaa.

Pia kwasasa siangalii Mchezaji alifanya nini before bali ninachoangalia ni Atatusaidia vipi kuipora EPL kutoka Kwa Pep.

Kwahiyo Bora tu Coutinho January atue au even next summer
 
Jiandae kupiga wine na tabasamu usoni Siku hiyo
Nimeshuhudia zaidi ya 50 za Liverpool vs Man United na Joto lake ninalijua.

Kwahiyo hii mechi kwangu Mimi Inanipa Pressure sana yani siwezi kuitabiri hata kidogo.

Kupoteza ni rahisi sana.
 
[emoji1211]Sadio Mané:

“Why would I want 10 Ferraris, 20 watches or 2 planes? I survived hard times, played football bare-feet, didn't receive education, but today I can help my people build schools, stadiums, buy clothes & food. I prefer my people receive some of what life has given me."
 
Hoja nzuri kabisa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…