MlimaSayuni
JF-Expert Member
- Mar 23, 2013
- 7,235
- 13,587
Kuna Moja ya post yangu, nimesema Moja ya sababu ya Man Utd kutofanya vizuri ni kutokuwa na nidhamu nzuri ya baadhi ya wachezaji wazuri, sijamaanisha Jones na Young ni wachezaji wazuri hawapaswi kuondoka.Kwamba young na jones wazur kwa kuwa kila kocha kawabakisha?
Ngoj nikupe kitu kubak kwa mchezaj inafuatana na vile kocha anavyoona kupata mbadala ni vigumu pengine viwango vinafanana na unaetaka kumuuza na sokoni bei ipo juu kumwachia mchezaj ni ngumu ni bora uwe nae wakat unasaka mbadala
Mourinho alilazimika kumpa mkataba mpya fellain baada ya bodi kushindwa kutafuta mbadala wa fellain huwez kuuza mchezaj wakat huna uhakika wa kupata replacement.
Mafanikio ya Liverpool ni mafanikio ya kila mchezaji, why not Henderson au Milner au MatipHardworking without a product ni sawa na to triumph without victory
Meaningless...
Daah, huu moyoNyie kenge mjiandae kisaikolojia mnakufa ot naapa mkijitahd sana draw licha ya man u kutokuwa vizuri ila amini kwamba
Thanks ndugu... Proper definition of the word legend...[emoji413] 16 Years Ago Today:
[emoji837] Steven Gerrard was named lfc captain.
[emoji909] 710 Games
[emoji460] 186 Goals
[emoji457] 115 Assists
[emoji471][emoji471][emoji471] League Cup
[emoji471][emoji471] FA Cup
[emoji471][emoji471] Community Shield
[emoji471][emoji471] UEFA Super Cup
[emoji471] UEFA Cup
[emoji471] Champions League
[emoji146] Anfield Legend.
Nyie kenge mjiandae kisaikolojia mnakufa ot naapa mkijitahd sana draw licha ya man u kutokuwa vizuri ila amini kwamba
Nakumbuka Baadhi ya Mashabiki wenzangu wamewahi kisema TAA anabebwa na Uingereza, fabinho mcheza rafu, Mane mchoyo, GINI Hamna kitu, firmino sio namba 9.
Ila hawa ndio leo watu muhimu kwenye timu, kwa maoni yangu mafanikio ya timu ni zaidi ya individual performance
Au labda uniambie kwenye 4-3-3 hao Mido 3 wanatembea Sambamba kama wanacheza Gwaride.
Degea kaumiaNyie kenge mjiandae kisaikolojia mnakufa ot naapa mkijitahd sana draw licha ya man u kutokuwa vizuri ila amini kwamba
Hao 3 Midfielders hawachezai kama Tunavyowaandika
Fabinho Huwa Nyuma ya Wote (GINI & HENDO)
GINI anacheza Center kutokea Kushoto.
Hendo anakuwa Mbele ya Wote (GINI & FABINHO) akitokea kulia ambaye anakuwa more offensive but anashindwa kudeliver chochote kwasababu sio creative.
What's your point kusema hatuna attacking Midfielder?
Ukisema hatuna attacking Midfielder manayake hatuna Link kutoka Kwenye Defenders na Washambuliaji! That means tunaplaye Bus-Parking football right?
Mkuu jamaa kakufafanulia vzr sanaKama hivi ndo unavyodhani basi kafanye tena homework
Mkuu una hofu ya bure tu. Kama sisi Arsenal na tactics mbovu za Unai tumepata suluhu OT.Next game against Manure
Ni headache tu
Manure hata wawe wabovu vipi wakikutana na Liverpool hugeuka Mbogo aliyejeruhiwa
Kuna waliokwishajiwekea Matokeo yao Mfukoni lakini kwamimi nasema bado Nazi tunayo Manure hatokubali kupoteza game kwa Liverpool kwa gharama yoyote ile.
Aina ya watu kama hawa huwa napita bila kusoma hata comment zaoMkuu jamaa kakufafanulia vzr sana
Nenda You tube kaangalie klopp tactic zake utaona ndivyo alivyoeleza ,
Degea kaumia
Kuna uwezekano mkubwa Mane akaingia kambani Mara 3 peke yake
Man mnakwenda kufanyiwa tohara bila ganzi
View attachment 1234531
Mkuu jamaa kakufafanulia vzr sana
Nenda You tube kaangalie klopp tactic zake utaona ndivyo alivyoeleza ,
Aina ya watu kama hawa huwa napita bila kusoma hata comment zao
Hii Liverpool haikatizi December, itakuwa ipo nafasi ya tatu kugombania na spurs uko au arsenal..