Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hii Liverpool haikatizi December, itakuwa ipo nafasi ya tatu kugombania na spurs uko au arsenal..
Huu sio uzi wa kubishana, huu ni uzi wa washabiki wa Liverpool kubadilishana mawazo. Wewe nenda katafute uzi wa timu yako ukaweke hizi comments zako huko
 

Post yangu uliyoniquote kuhusu GINI ilikuwa hii ↓↓


Nioneshe ni sehemu gani hapo nilipomponda GINI?

Nilizungumzia tu Kuwa Yule wa Timu ya Taifa ni Tofauti wa Liverpool ikiwa ni indirect message Kuwa anakuwa Misused ndani ya Liverpool.

Sasa hizo habari za kuponda hapa umezitoa wapi?

Au ulikuwa Jukwaa la Mapishi ukahadithiwa Kuwa King Ngwaba anaponda Wachezaji Wabovu ukaamua Kuingia Kwenye uzi wa Liverpool ukakurupuka kujibu tu kwenye post yangu?

Zipo njia nyingi za Kuwa Mchambuzi mzuri wa Mpira kwenye huu Uzi bila ya Kiquote kwa kukurupuka.

Kwanza soma kwa Makini na uelewe ndiyo uanze kuquote watu.

Mimi ninaowaponda hapa Wanajuilikana hebu uliza members wengine humu watakwambia. Sijawahi Kumponda GINI hata kwa bahati mbaya.

Narudia tena acha Unafiki
 
LFC next manager, is Steven Gerrard.

Lol, its written in the stars.


and, as much as i love SG, its going to be Ole GS 2.0

so we need to enjoy hii moment ya Klopp kwa kila drop ya pumzi.
Mi nabet asiporithi SG8 atakuja Anceloti ...
 
Let me differ a wee bit
Kwanza Henderson might not be as technical as some of the flashy midfielders you guys here may mention but he is a hard working man who gives his all for the team..It is always my belief that hard work beats talent. What I see here people always scrutinise Henderson for every bad performance we put largely because he is our captain.He had to take over captaincy from our biggest player and hero SG8 ..the pressure on him is too huge due to that fact..


But assuredly I tell you players like Henderson are very rare ,he is a hard worker,plays for the badge and a great leader in the dressing room.


Look at united they have pogba,matic, Fred,Pereira who technically we can all say they are better than hendo but if I ask you today would you exchange pogba for Henderson ??? Personally a big NO .

United lack leadership in the dressing room same as arsenal ( I believe arsenal is a good team at individual level they have great players but they don't have leaders in their team that is their greatest Achilles)

Henderson is a very popular figure in the dressing room, kama kocha unataka kumaintain umoja na upiganaji kwenye kikosi lazima use na watu kama Henderson who care about the team more than their individual gloru.
 

Umeandika Mambo mengi lakini remember that, Research inapingwa kwa Research right?

Let's talk about stats! Hardworking kwenye Masomo without success au tuseme kusoma sana bila ya kufaulu yani ukaishia kuzungusha ni meaningless! Agree?
The same kwa Henderson ana Hardworking but ana-offer nothing good jambo ambalo halina Afya njema kwa Timu.

Stats za Henderson:

√ 12 games played:
√ 0 assists
√ 0 gol
√ 186 passes complete in 8 EPL games

Kumbuka huyu ni attacking Midfielder ambaye anatakiwa awe na at least 3 goals and 6 assists.

Mkuu naomba Stats zitakazoprove Kuwa Henderson ni bora kama ulivyomuelezea! Lakini kwa kuniambia tu Kuwa He's Hardworking Man bila ya Stats zikazoprove unachoongea basi itakuwa umeandika tu kama Magazeti ya Uengereza yanavyoandika.
 

Ntakujib kiufupi maana niko bizze na mambo mengine
Kuna kipaumbele cha tim, yaan mchezaji akiwa na mpira anaoption za kutoa pasi na anatoa anaeona ni bora kwake, mchezaji akiwa na mpira ana option either atoe kwa Gini au Salah, au mane au Salah, though jini atapata mpira ila kuna kasaut nyuma ya kichwa chake katakachompush kutoa pasi maana wachezaji wakubwa wa tim wote wanamwangalia awapigie pasi, na apo ndo wachezaj wengi huboronga, huwez kwenda Barca ukacheza utakavyo akat messi anakwangalia, ata ka hujui mpira wowote ukiwa na tim ambayo we unajua kuliko wote utaonekana messi, ili uwe mkali kila timu inabidi uwe na kiburi na ucheze utakavyo wewe na si tim itakavyo (mfano mzr ni Ronaldo, mfano mbaya ni Ricardo Kaka)

Hujamponda Jini ila umeongea kitu ambacho akiwezekani, akiwa Netherland anakuwa kati ya wachezaji wakali wa timu, akiwa liver ni mchezaji wa kawaida, so lazima atapishana na unavyotaka
 
Henderson sio talented player ila Work rate na uongonzi wake uwanjani ni muhimu Sana Kwa Liverpool na hata England, no wonder Kila kocha anayekuja anambakisha, nadhani hata Kama sisi tungekuwa makocha lazima Henderson angekuwa chaguo la mbele ya Talented Keita au Pogba.
 
If you ever coach or lead an army, Henderson ni bora Mara 1000 ya watu talented aina ya Neymar.

Henderson ni medium performer but high trust.
High performer but low trust ni sumu kwenye timu. Man U inashida Kwa sababu ina vijana Kama Hawa kwenye timu yao.

Ukiaangalia kikosi cha Liverpool kina players ambao ni High disciplined na hardworkers, husikii wana scandals nje ya uwanja au hata Aina za nywele si za Akina Pogba au Neymar. Nadhani huu ndio msingi wa ufundishaji wa Klop.
 
Very true, lakin kwenye stats Hendo is derailing. Hardworking yes, what is the product?
 

Hii comment ndo tofaut ya passionate na reason
Ukiendelea kufikiri hivi utajiumiza sana na stats zako mkuu
Utaona kama nakuponda ila jarb kuangalia mpira kwa jicho la tatu na si stats
 
Kwa hiyo wewe Henderson unamuona bonge la mchezaji

Simuoni kama bonge la mchezaj, ila anaplay part yake kuwafanya wachezaji kuwa bonge la mchezaj, you see, maana ya team work ni kuwa na aina tofaut tofaut ya wachezaji wenye michezo tofaut kutengeneza combination, naamini nikikuuliza kibaya cha Henderson ni nini najua hujui, bali unaponda kwa sababu watu humu wanamponda, hii huitwa credulous, ndo maana kama kwenye eating akipewa higher rating mnakuwa mnaiponda hiyo sight,
Ndo jinsi binadam walivyoumwa

Sio kuwa namtetea, la hasha, leo hii nikimtukana mtu hadharani na kugombana nae bila huruma, watu wataniita katili na mwenye dharau, haimaanishi mema nitayoyafanya mbele au popote ila tu watu ndo washajiwekea hyo belief bila kufatilia stori behind the scene

Hernderson ni mchezaji wa kawaida tu ila anastabilize mido, japo unaweza kumreplace ila ni kiongozi mchapa kazi mwenye nidham
Goodluck kwenu nyie mnaomponda kiongozi anaejituma
 
Binafsi napenda tuwe na Akina fabinho 5, De Jong, Modric Kila Aina ya midfielder bora, But at the End this is an Ideal, Liverpool ni team, Lazima kila mchezaji achangie kila alichonacho Ili tushinde.
 
Akiwa Netherland anakuwa kati ya wachezaji wakali wa timu, akiwa liver ni mchezaji wa kawaida, so lazima atapishana na unavyotaka

Hilo ndiyo Jibu ambalo ulipaswa kunijibu mapema bila ya hata kufikia Hapa.

Labda nikupe my point ya nilichokiandika from the beginning...

My point haikuwa Kumponda GINI bali Nilichokusudia ni kutoa indirect message Kuwa Henderson anafanya mpaka Mido waliomzunguka waonekane Hamna Kitu!

Coz GINI yupo more attacking player kuliko Central or Defensive, But nafasi ya attacking imekuwa ni Hatimiliki ya Henderson kiasi ya kwamba kina KEITA na GINI wanahamishwa kwenye Position zisizokuwa zao na kupelekea Uwezo wao kufichika kama sio Kudumaa.

But kwenye Timu ya Taifa GINI anapewa Uhuru wa Kucheza na Kuattack ndiyomana anakuwa Tofauti na Yule wa Liverpool.
 
Kwamba young na jones wazur kwa kuwa kila kocha kawabakisha?

Ngoj nikupe kitu kubak kwa mchezaj inafuatana na vile kocha anavyoona kupata mbadala ni vigumu pengine viwango vinafanana na unaetaka kumuuza na sokoni bei ipo juu kumwachia mchezaj ni ngumu ni bora uwe nae wakat unasaka mbadala

Mourinho alilazimika kumpa mkataba mpya fellain baada ya bodi kushindwa kutafuta mbadala wa fellain huwez kuuza mchezaj wakat huna uhakika wa kupata replacement.
 

Kiukweli ni kwamba umejiunga JF mwanzo wewe kuliko Mimi ndiyomana nashindwa kutoa Jibu lilonijia akilini mwangu kwa Muda huu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…