Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

CHARITY KLOPP..
Liverpool boss Jurgen Klopp has said he is a "member of the Common Goal family", where footballers and coaches donate 1% of their salary to charity.

Klopp, 52, made the announcement during his speech as he collected the men's coach of the year prize at the Best Fifa Football Awards in Milan, Italy.

Common Goal is an initiative that was set up by Manchester United midfielder Juan Mata in August 2017.

Klopp reportedly earns about £10m per year
 
IMG_6314.JPG
 
Duh kazi kweli kweli ,kwahiyo NB wamejitutumua kutoa zaidi ya £75m+ p/yr kutoka £45m ?

Ndiyo NB wanaenda sambamba na offer ya yoyote watakayoweka Nike coz tokea aje Klopp na kushiriki CL back to back NB wamejipigia hela sana kwa mauzo ya Jezi kutokana na Mkataba wa hela ndogo waliokua nao.

Sasa kitendo cha kukimbilia Mahakamani kutaka wao ndiyo wapewe Mkataba inaonesha wazi kuwa Liverpool sasa ina nguvu ya kutisha ya kibiashara ndiyomana Wadhamini wanagombaniana Timu Mahakamani.

Hivi ni Vita vya Panzi (NB & Nike) ambavyo ni faida kwa Kunguru (Liverpool)

Anyway this battle for the club's kit rights looks set to be settled in the courts
 
Kwa maneno ya Klopp kwenye Interview, ni wazi kuna uwezekano Mkubwa wa Kutokea mambo haya mawili:

1) FIRST: Klopp huenda asiongeze Mkataba mpya

1) SECOND: Gerrard ndiye Mrithi rasmi wa Klopp kwani kila mara Klopp amesisitiza kuwa Gerrard ndiye Mtu anayempendekeza aje baada Yake.
 
“Ninatangaza kwamba kuanzia leo na kuendelea mimi ni memba wa familia ya Common goal” hayo ni maneno ya kocha wa Liverpool Jurgen Klopp jana mjini Milan baada ya kukabidhiwa tuzo ya FIFA ya kocha bora wa kiume wa mwaka 2019.

Common Goal ni taasisi ya misaada iliyoanzishwa na kiungo wa Man United Juan Mata Agosti 2017 ambapo wanasoka na makocha huchangia asilimia 1 ya mishahara yao kwa ajili ya kusaidia jamii zilizo katika hali mbaya duniani kote ili waweze kubadili na kuboresha maisha yao.

Baada ya kusema maneno hayo Klopp akapigiwa makofi na watu waliokuwepo ukumbini, baada ya hapo kocha huyo akasema : “ Ni watu wachache wanaijua hii (Common goal), kama haujui, Google. Ni kitu kizuri’.
.
Dakika chache baada ya kutamka maneno hayo, tovuti ya Common goal ikakwama (Crashed) kufuatia kuzidiwa uwezo kutokana na wingi wa watu waliokuwa wakiingia katika tovuti hiyo.

Baada ya muda kidogo tovuti hiyo ikarudi na kukaa vizuri

Klopp ambaye inaelezwa kuwa anapokea mshahara wa Pauni milioni 10 kwa mwaka (Tsh Bilioni 28.6), amekuwa ni kocha wa kwanza kutoka ligi kuu nchini England kujiunga na taasisi hiyo

Wengine kutoka ligi kuu ya England ambao wapo ni kipa Kasper Schmeichel wa Leicester City ,Charlie Daniels wa Bournemouth na Leon Balogun wa Brighton

Majina mengine ni Mats Hummels,Megan Rapinoe,Alex Morgan,Giorgio Chiellini,Serge Gnabry,Shinji Kagawa,Rais wa UEFA Aleksander Ceferin
 
Brewster on Klopp's plan

Rhian Brewster has opened up on Jurgen Klopp’s special plan for him.

The highly-rated forward told Mirror Sport at the FIFA 20 World Premiere: “Klopp spoke to me and told me, ‘You’re going to get your chance this year’ and I’m just waiting for that chance now so that I can prove him right.

“He’s not one of those managers you don’t want to speak to, he’s a great manager and he’s so down to earth.

“At the moment it’s just about getting game time. Playing for the Under-23s is good because obviously I was out for so long, so he’s trying to put me into it [the first team] slowly and not just throw me in there.
 
Kwa maneno ya Klopp kwenye Interview, ni wazi kuna uwezekano Mkubwa wa Kutokea mambo haya mawili:

1) FIRST: Klopp huenda asiongeze Mkataba mpya

1) SECOND: Gerrard ndiye Mrithi rasmi wa Klopp kwani kila mara Klopp amesisitiza kuwa Gerrard ndiye Mtu anayempendekeza aje baada Yake.
Pep yeye alisema haoni sababu kwa nini Mikel Arteta asimridhi na kuedeleza falsafalsa ya Manciti na kadhalika...ina maana kama wakim consult Pep kura yake ni kwa Mikel...

Ukiona Klopp hata hasemi msaidizi wake apewe mikoba means pengine kuna project ipo kwenye pipeline baada ya kuchukua sabbatical mwaka mmoja..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom