Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Maguire tatizo hana speed tu ila naona kama ni mzuri kuliko Matip
Jumapili mutapoteana apa.hahaha [emoji847][emoji847][emoji847][emoji41][emoji41]....baada ya mechi ya Jpili utailewa......Namba 4 in Red si mchezo kwa vichwa
Una kipa Adriana una beki Vvd unategemea kuchukua point apo darajani!! Iyo gemu mukikaza sana basi ni draw ...Ollachuga Oc mtulie sidano iingie haha...huyu VVD anawatesa sana wapinzani....hakika sis mashibiki wa Majogoo ni zamu yetu...
wewe hangaika na Zuma huyu tuachieni sisi...
Jumapili naja mazima kuchukua pointi hapo hapo Darajani...[emoji847][emoji847][emoji847]
Hiyo midfield si ya kitotoGueye
Verrati
Serabia
Mourinqoh
Herrera
Nilijaribu kupitia kwenye Uzi wenu baada ya Mechi ya Juventus vs Napoli ambayo Koulibaly alijifunga! Nilichokikuta ni kwamba Mashabiki wa Man United walikuwa Wakitiririka kwa kumponda Koulibaly kwamba sio baki wakafika hadi kumfananisha na Smalling!
Sababu nikagundua ni moja tu ambayo Man United tokea wampate Maguire basi Mabeki wote waliobakia Duniani ni Wabovu! Yani kwenye ulimwengu wa sasa wa Soka munapata ujasiri wa kumpota Koulibaly????
Turudi kwa VVD...
Ni kweli Juzi alifanya Blunder iliyopelekea goli lakini you know why tumenyamaza hatumlaumu?
Ni kwasababu tunatofautisha One error dhidi ya error prone.
VVD anawezafanya only one mistake kwenye Msimu mzima in all competitions, kwahiyo hapo tutamuhesabu yeye ni human being hawezi kukwepa kukosea. Na hakuna beki yeyote duniani hata awe bora kiasi gani ambaye anacheza Msimu mzima bila ya error leading to goal..
Kama yupo nieleweshe.
Lakini Mkuu Lovren ni error prone ambaye anajuilikana kama Mzee wa accident waiting to happen.
Kwenye kila mechi anayocheza lazima atafanya error tu! Sasa beki kama huyu lazima angelifanya yeye kwenye ile game ya juzi basi tungemshambulia mwanzo mwisho coz tusingeona ni bahati mbaya Bali ni kawaida yake.
Lakini wakati muna Maguire najua mutazidi kusema VVD si beki.
Lakini nawahakikishia tu kuhusu huyo Maguire wenu ni Only Matter of Time kabla ya kuanza kumkataa kwenye Uzi wenu.
Narudia tena kwa ufasaha nikwamba! "Ni suala la Muda tu lakini mutakuja kumkataa Maguire".
sahihi kabisa ndugu...
Pogba kuna wakati anazingua anafanya makosa ya ajabu ambayo sio level yake..mpira ni mchezo wa makosa kutumika kuumizwa mshindani wako akilitumia vzuri hilo kosa..kosa la VVD na Robbo limetu cost goli Naples..
ubora wa mchezaji haumwodolei kinga ya kufanya makosa ishu inakua pale yanajirudia mara kwa mara kama alivyo Lovren..
Maguire tatizo hana speed tu ila naona kama ni mzuri kuliko Matip
Sasa ulitaka afananishwe na nani?magwaya ni overrated defender kama john stones tuDuh mkuu unamfananisha Maquire na Matip, kweli umeichoka Man Utd [emoji24][emoji24]
Ila hili jamaa Matip limenoga sasa hivi , linacheza vizuri lina win aerial duel , linapiga pass za mashambulizi vzr , limemnyang'anya namba Gomez kirahisi sana.Matip ni Genius kwenye kuplay ball na kupiga Pasi.
Pia anauwezo Mkubwa sana wa kuanzisha Mashambulizi
Na Ndiyomana (Kwa uoni wangu) Matip anakaba lakini kwenye kuplay mpira, kupiga pasi na kupenetrate from defence line na kuunganisha mashambulizi yanayotokea Nyuma basi Matip ni bora kuliko VVD (Of course wote VVD na MATIP ni wazuri) but Matip yupo bora zaidi.
Na Ndiyomana Napenda sana kuiona Combi ya MATIP-VVD kuliko GOMEZ-VVD coz VVD anakaba (Yupo bora zaidi kuliko Matip), Naye MATIP anaiunganisha Mido/Washambuliaji kutoka kwenye Defence kwa kutuliza na kuucheza mpira na kupiga pasi ndefu kwenda mbele (Yupo bora kuliko VVD), hata Matip akikokoto mpira basi unamkuta anapenetrate mpaka kukaribia Box la opponents jambo ambalo ni Mabeki wachache mno (Kama wapo) ndiyo wenye uwezo wa kufanya hivyo.
hivi nyie washangiliaji wa kwasukwasu fc ya london muna nini lakini?sasa hapo katika red ndio umeandika kitu gani?si ndio nyie ambao mlikuwa mnampambanisha Allison na Kepa na kusema Kepa ni bora kuliko Allison kwa hoja kuwa Allison analindwa zaidi na backline yake......alafu leo mnamfananisha Virgl na Zouma sasa mbona huyo Zouma hamlindi Kepa asitobolewe na kina Rodrigo hahahahahahaLakin mkuu VVD sioni kama ana tofauti sana na Zouma, Sema labda experience tu na ilikuwa ni wakati wake wa kushine ..mim naona radika yupo sawa tu ..magwaya is better so far than VVD ..
VVD wa msim uliopita ni tofauti sana na msimu huu..kiwango chako kinazidi kushuka taratibu..
Uwepo wa Allison unaficha makosa mengi ya VVD [emoji3][emoji3][emoji3]
Najua mutabisha lakini VVD time will tell..
Kila la kheri Chelsea[emoji170][emoji170][emoji170]
Maguire kinachomuangusha ni mzito sana kukimbia. Sasa hata akikutana na wenye mbio kiasi kama Sterling ni msalaDuh mkuu unamfananisha Maquire na Matip, kweli umeichoka Man Utd [emoji24][emoji24]
Matip sio beki makini ndugu yangu, anajitahidi kuimprove lakini bado sanaMatip ni Genius kwenye kuplay ball na kupiga Pasi.
Pia anauwezo Mkubwa sana wa kuanzisha Mashambulizi
Na Ndiyomana (Kwa uoni wangu) Matip anakaba lakini kwenye kuplay mpira, kupiga pasi na kupenetrate from defence line na kuunganisha mashambulizi yanayotokea Nyuma basi Matip ni bora kuliko VVD (Of course wote VVD na MATIP ni wazuri) but Matip yupo bora zaidi.
Na Ndiyomana Napenda sana kuiona Combi ya MATIP-VVD kuliko GOMEZ-VVD coz VVD anakaba (Yupo bora zaidi kuliko Matip), Naye MATIP anaiunganisha Mido/Washambuliaji kutoka kwenye Defence kwa kutuliza na kuucheza mpira na kupiga pasi ndefu kwenda mbele (Yupo bora kuliko VVD), hata Matip akikokoto mpira basi unamkuta anapenetrate mpaka kukaribia Box la opponents jambo ambalo ni Mabeki wachache mno (Kama wapo) ndiyo wenye uwezo wa kufanya hivyo.
lakini kwangu nakubali changu, namkubali Maquire ni best center half available in EPL.
Matip sio beki makini ndugu yangu, anajitahidi kuimprove lakini bado sana
Ww jamaa unajua sana kujenga hojaNdiyomana kukabuniwa Msamiati unaitwa "MAONI" kwasababu kama hizi.
Kulingana na Maoni/Mtazamo wa Mourinho Robben hakuwa mchezaji wa maana, Lakini kulingana na Maoni ya LVG Robben ni one of the Best player in last Two decades.
Kama hao Magwiji wawili katika ukocha wametofautiana Mtazamo juu ya mchezaji mmoja basi hakuna sababu ya kuwa Mimi na wewe tusitofautiane kwa mchezaji mwengine mmoja as long as tutaheshimiana kwenye kutoa Maoni yetu.
Kwa uwezo wangu hata kama ni mdogo wa kutazama mpira basi nasema popote kuwa Matip ni miongoni mwa mabeki bora japo hajafikia level za kina VVD.
Mimi Beki ninampima kwa Vitu viwili tu!
1) Uwezo wake wa kukaba
2) Kutokuwa na error prone zinazoleading to goal
Sasa Matip tumchambue katika mambo hayo Mawili!
1) Je ni error prone?
2) Je from last season to this season amefanya error ngapi zilizopelekea goli?
3) Amekuwa mzembe kwenye kukaba au anashindwa kabisa kukaba kwenye Defence?
4) Naomba mifano ya hizo mechi ambazo utazijibia hayo maswali.
Nadhani ukijibu hayo maswali ndiyo yatatupa picha kuwa Matip ni beki wa aina gani.
Lakini tukiendelea kusema/kuamini tu kuwa Matip ni beki mbovu bila ya kuthibitisha huo ubovu wake na kwa Mechi zipi! Hapo itakuwa tunazungumzia ubovu wa kinadharia.
Kwamfano Mimi ukinihoji kwanini ninasema Hendo mbovu?
Nitakujibu kuwa Hendo ni Attacking Midfielder (AM)
Kwahiyo AM ninampima kwa mambo hayo.
1) Assists
2) Goals
3) Take on
4) Touch
5) Passes complete
6) Dribbling
Sasa kama Ndani ya Msimu mzima hafiki ata Assists 7 wakati Beki TAA ana 13 hapo nitamuelewaje?
Nikitazama Wachezaji wa Kawaida tu kina Fraser wana takriba Assists 15 kwenye EPL tu, yeye kwenye all competitions hafikishi hata assists 7 halafu mtu aniambie ni Mzuri kwasababu akiwa hana mpira ni Mkali?
AM hafikishi hata Goli 5 per season in all competitions?
AM hawezi hata kukokota mpira na kudrible?
Kwahiyo nakuomba ujenge hoja kwa mifano juu ya ubovu wa Matip na si kushikilia misimamo tu kuwa Matip ni Mbovu.
Mkuu kama huwa unasoma coments mbili tatu ninazowekaga mimi (nafahamu huwa unasoma) huwa si mtu wa kulaumu laumu wachezaji wetu au hata makocha, ninafanya hivyo mchezaji anapokubuhu kufanya makosa na kutoheshimu badge (najua wewe huwa unawalaumu sana hata Klop huwa unalaumu)
Mfano mzuri Jose pamoja na mapungufu yake nilikuwa namheshimu kwa kile kidogo alichofanya United, japo nilikuwa namkosoa respectifully pale anapozingua. Kwa sasa kuna watu wanahoji uwezo wa OGS mapema yote, wakati ndio kocha wetu aliyopo na kuna vitu positive tunaona anavifanya. Kitu kikubwa kwangu mchezaji asifanye makosa makubwa yazidi vitu vizuri anavyovifanya (hapo nitakosoa)
Nafahamu Maquire hawezi kuwa perfect 100‰, lakini kuna kipindi kops mlitaka kutuaminisha kwamba VVD huwa ni perfect player. Na hata hapo umesema anaweza kufanya kosa moja, sidhani kama ni perfect kiivyo, point ya msingi makosa yasi over shadow mazuri
Umenihakikishia kwamba tutamkataa Maquire kwa kufanya makosa uwanjani, na mimi nikuhakikishie hatutamkataa kwa hilo.
Mwisho wa siku Maquire akikosea mtamzodoa na mtatukumbusha bei aliyonunuliwa nayo. Sasa kwanini mkuu na sisi tusimponde VVD akizingua (after all ndio upinzani na ushabiki huo) Mfano mechi ya Newcastle alinipigia pasi hiyo hata sijui ilikuwa inaenda wapi.
Nikuhakikishie tu as long as VVD anaendelea kucheza soka, kuna siku atazingua tu, na Maquire hana Kinga ya hilo, lakini kwangu nakubali changu, namkubali Maquire ni best center half available in EPL. Koullibally ni best center half available in Seria A
Mwisho mkuu, sometime huwa tunakosea ku generalize kama kuna mashabiki kadhaa wa United wamemponda Koullibaly, si wote. Nyie wenyewe humu nawaona mnatofautiana kuhusu Klop, Hendo n.k
Naongoza ligi sio kwa kubahatisha mbali kwa kucheza gemu plan yangu, sasa wewe chezeni gemu plan yenu na baada ya dakik 90+ itajulikana nani atacheka kicheko cha mwisho...Jumapili mutapoteana apa.
Kila la kheri Chelsea[emoji170][emoji170][emoji170]