Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Alicho kifanya MANE View attachment 1195433ni sahihi kwa faida ya team,ile ilikuwa ni bao la wazi kamnyima mwenzake,asingefanya vile asinge jirekebisha na tuna furahi Mane kaleta issue mapema so Salah atajirekebisha.
We ni timu gani hebu tuanzie hapo kwanza !EPL bado ipo mikononi mwa Guardiola
Nyie subirini tu muone big match za Man Utd na Man City zitakavyopoka Ubingwa
Kikosi finyu sana pale Liverpool, huku Man City namba zote zina watu wakutosha benchi
Man City kama kawaida atanyuka timu zote hata iwe Manchester derby, Liverpool derby yake na Everton lazima adondoshe point
Kwann alidraw na tot...EPL bado ipo mikononi mwa Guardiola
Nyie subirini tu muone big match za Man Utd na Man City zitakavyopoka Ubingwa
Kikosi finyu sana pale Liverpool, huku Man City namba zote zina watu wakutosha benchi
Man City kama kawaida atanyuka timu zote hata iwe Manchester derby, Liverpool derby yake na Everton lazima adondoshe point
Ishu ya salah iwe closed bhasiYani ueke Bench Salah kwasababu eti ni selfish umchezeshe Xhaqiri?????
Yani tunatafuta EPL halafu umueke benchi Salah??? Are you serious??
Haekwi Mtu benchi hapa!
Uchoyo wa Salah ni bora Mara ×100 kuliko uzima wa Xhaqiri na Origi.
Njoni museme tulimfunga Barcelona bila ya Salah! Lakini hilo haliondoshi ubora na umuhimu wa Salah
Na mimi nashangaa kwa kweliIshu ya salah iwe closed bhasi
Dah
Haijaisha tu kwani ?
Ishu ya salah iwe closed bhasi
Dah
Haijaisha tu kwani ?
Tunapoelekea tutakua kama chelsea, tunakua na vijana wenye vipaji ila nafasi hata ya benchi hakuna mwishowe wanaenda kwingine wanang'ara. Hii itatucost sana endapo majeruhi yatapita mbali na timu yetu.Bobby Duncun anaenda Fiorentina kwa £2m na clause ya kupata 20% kwa mauzo yoyote ya baadae.
Huyu dogo na wakala wake wameamua kukichafua...
Na upande wa Timu Klopp & Michael Edwards wanalaumiwa kwa Kumtreat vibaya huyu dogo ikiwemo kumzuia kwenda Fiorentina on Loan
Lakini Mimi nalaumu kwa Timu kushindwa kuihandle hii issue.
Huenda baade huyu dogo tukaja tukamjutia
Dejarn Lovren to stay at Liverpool after Jurgen klopp has blocked all loan move to the defender.
HahahahahahahahahHii ni habari mbaya sana kuisikia kwa Siku ya leo
Huyu Jamaa amshukuru sana Mganga wakeDejarn Lovren to stay at Liverpool after Jurgen klopp has blocked all loan move to the defender.
kaka wakati mwingine stats hazikuelezi kila kitu uwanjani,na kuna tofauti kubwa sana kuangalia mpira kwenye TV ,na kuangalia live uwanjani...kwa sababu mfano wanachokifanya gini ,hendo na firmino OFF THE BALL,huwezini kuona kwenye stats sehemu yoyote ile mpaka uwe uwanjani...na hapa ni pale timu inapokuwa na mpira au wakati kudefendi...workrate...kwa bahati mbaya TV inaonyesha uelekeo wa mpira tu....ukiangalia trent anavyolindwa na akina hendo na gini akiwa kwenye zone ya adui huwezi kuona kwenye TV.Lakini cha watu watakwambia hendo anakimbia kimbia tu uwanjaniOnly Stats Ndiyo Zinazoongea hapa! The so called selfish anaongoza kwa mbali sana kuwaassists hao wasio selfish last season
See the difference
View attachment 1194861
Acha wawepo wote tu, watu hatujasajir tukiuza tutakuwa hatufikirii sawa sawaDejarn Lovren to stay at Liverpool after Jurgen klopp has blocked all loan move to the defender.