Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Tunahitaji point 3 kivyovyote vile leo kwa kucheza vibaya au vizuri
Nadhani tuna Mawazo sawa
Ila Mkuu kucheza vizuri kunatupunguzia pressure ndani ya 90'
Tunahitaji point 3 kivyovyote vile leo kwa kucheza vibaya au vizuri
NgapNgap?Tunahitaji point 3 kivyovyote vile leo kwa kucheza vibaya au vizuri
Mechi 19:30 usikuNgapNgap?



Kila la kheri timu Yangu Burnley
Come on Burnley![]()
Naona umevuta kama kawaida yako mzee babaKila la kheri timu Yangu Burnley
Come on Burnley![]()
Ila we jamaa unaacha kuhangaika na matatizo ya familia yako maskini unahangaika na mambo ya familia ya mo dewjiKila la kheri timu Yangu Burnley
Come on Burnley![]()

Lallana hapana...Tukiongoza kwa utofauti wa Goli mbili mpka dakika ya 75'
Lallana In Milner In
Leo ndio naingia humu,pengine akishinda derby itatuliza hasira kwenu ndugu yangu...
hawa makocha sometimes sijui wanabet...hata Klopp aliwai kutupangia Hendo RB, akaja tena vs Manu kwao akatuwekea pancha Lallana na hivi karibuni umeona akimuweka Ox gemu ya fainali supercup na kumuacha ever blazing Bobby...
jana mmeanguka ni kujipanga kupambana siku nyingine...