Bengalisis
JF-Expert Member
- Jun 8, 2018
- 1,847
- 2,768
Hana akili hizoSamata akiifunga liverpool, dunia itasimama aisee
Hana akili hizoSamata akiifunga liverpool, dunia itasimama aisee
Zimeshabaguliwa tunzo za FIFA na Ballon D'or
FIFA zao za mchezaji bora wa Dunia wanatoa Leo ambapo wamemchagua VVD kuwa ndiye mchezaji bora duniani kwa mwaka 2018/19.
Ballon D'or sio tunzo ya FIFA ni Tunzo ya Ufaransa (France Football) inatolewa December 3 ambapo mshindi sio mchezaji bora wa Dunia anayetambuliwa na FIFA, anayetambuliwa na FIFA ni yule aliyepewa leo (VVD).
Kwahiyo: VVD ndiye mchezaji bora wa Dunia kwasasa
Ballon d'Or - Wikipedia
en.m.wikipedia.org
Kama ujui nyamaza
mpaka sasa ni dhahiri hawa Southmpton hakika walituuzia bei chee mno huyu mchezaji...Ile mipaundi mil 75+ tuliyoilipa kwa VVD imelipa.
Jicho tunaligeuzia kwa majirani kuld waliolipa mil 80+ kwa Magwaya nao zitalipa au walitucheka kitu wasokijua?
kabisa ndugu hii impact ni mkumbwa mno...CV ya Liverpool kama klabu inazidi kung'aa....Hakuna tena haja ya kwenda Barca and Madrid ili uwin tuzo za dunia. Liverpool panatosha.
Wale wote wakina Harzad walioenda spain kuzitafuta ballon etc waambieni mambo yamebadilika.
Maombi yana nguvu sana kwa MunguSasa ndugu yangu sisi Kops tukishikamana Luangwa ,Tinde na Mpanda tutaisaidiaje team yetu?Ila mko vizuri pambaneni kumnyima Pep usingizi
Kama ni tuzo za uefa kwanin usiandike best uefa player of the year?
Kwani FIFA si ndio wanahusika na mchezaji bora wa dunia?
Hizi za leo zimetolewa na FIFA au UEFA?
Daaa.
Ipo siku nitaandika kuhusu wewe maana kuna kitu Nazidi kukiona kwako
The Best FIFA Football Awards 2019 are to be held on 23 September at the Teatro alla Scala in Milan, Italy.Sorry hapo nilichanganya!
VVD ni mchezaji bora wa UEFA
Mchezaji bora wa FIFA nadhani anachaguliwa September