Bengalisis
JF-Expert Member
- Jun 8, 2018
- 1,847
- 2,768
Ahsante mkuu, huu ndo ukweli na uhalisiaHahahahahahahahah LIVERPOOL COME FIRST ME over maswala ya kuabudu sijui mchezaji flani mzuri,mwingine mbaya its Nonesense.
Ahsante mkuu, huu ndo ukweli na uhalisiaHahahahahahahahah LIVERPOOL COME FIRST ME over maswala ya kuabudu sijui mchezaji flani mzuri,mwingine mbaya its Nonesense.
Siku umeanza kufukiri kiufinyu sana mkuu, yani roho ya uhaters imekuandama mpaka umeanza kufikiri ovyo hovyo, wake up and open your brainNa Jengine ni kwamba kuimarika kwa Timu si kuwa na Idadi ya Wachezaji Wengi.
Bali kuimarika kwa timu ni kuwa na Wachezaji wenye Vipaji.
Kwahiyo Kuwa na Kundi kubwa la kina Hendo, Lovren, Kent, Brewster, Gini, Milner, Lonegar, Origi, Lallana na wengine haimaanishi kuwa ndiyo Tuna bonge la Timu.
Kuwa na Wachezaji Wengi wenye Vipaji na uwezo wa kujituma ndiyo Kuwa na Timu imara.
Sitokuwa na Muda wa kuomba eti tuwe na rundo kubwa la Magarasa ili tuonekane tuna kikosi kipana! Upana gani huo wakati akiumia Mane tu tunakuja hapa kulizana?
Man City anaumia Aguero na wanakiwasha moto bila ya hata kuzungumzia Pengo la Aguero.
Front 3 ya Man City:-
1) Sterling - Aguero - Bernardo Silva
2) Sane - Jesus - Mahrez
Front 3 ya Liverpool:-
1) Mane - Bobby - Salah
2) Origi - Brewster - Xhaqiri
Mido ya Man City:-
David Silva - Rodri - KDB
Foden - KDB - Guandogan
Mido ya Liverpool:-
1) Gini - Fabi - Hendo
2) Keita - Milner - Ox
Hiyo ya Man City ndiyo maana ya kikosi kipana.
Tofauti ya Man City na Liverpool.
√ Liverpool wanatafsiri kuwa na Wachezaji Wengi ndiyo kikosi kipana na ubora wa timu.
√ Man City wanatafsiri kuwa na Wachezaji Wenye Vipaji na Uwezo ndiyo Kikosi kipana na ubora wa timu.
√ That's why Liverpool amekusanya rundo la Magarasa na prone injuries kama Lovren, Lallana, Hendo, Lornegar, Milner, Gini, Xhaqiri akiamini kuwa kundi hilo ni depth na ndiyo kikosi kipana.
√ That's why Man City amefanya utaratibu wa kuachana na Kompany, Kutafuta mbadala wa Fernandinho ambaye ni Rodri, Na kila msimu kusajili Wachezaji bora na wenye Vipaji akiamini Ubora na Kipaji cha Mchezaji ndiyo Timu imara na kikosi kipana.
Uliposema hendo na lovren wapotee halikuwa ombi ni nini? Umekuaje siku hizi ndg yangu daaaaah?Samahani, wewe ni katika wanaoamini mafanikio ya mpira yanapatikana kwa Maombi?
Tafadhali nifundishe namna ya kumuombea Hendo ili awe na kipaji angalau kama cha Milner tu.
Siku umeanza kufukiri kiufinyu sana mkuu, yani roho ya uhaters imekuandama mpaka umeanza kufikiri ovyo hovyo, wake up and open your brain
Uliposema hendo na lovren wapotee halikuwa ombi ni nini? Umekuaje siku hizi ndg yangu daaaaah?
Changamoto kubwa inakutesa ni pale unapotumia nguvu nyingi sana kutetea unachokiamini badala ya kufikiria vzr, pole sana mkuu, wewe endelea kupambana sisi wengine hatujazoea hivi utakavyo ww, acha niendelee kusubiria ushindi keshoHilo halikuwa ombi...
Lovren tayari ameshapotezwa kwa maamuzi ya kocha kumfanya Fourth choice kwahiyo hakupotea kwa Maombi bali kwa ubovu wake ndiyo uliyomfanya aondoshwe kikosi cha kwanza. Na ndiyomana ananadishwa kama Tikiti lakini hakuna timu inayomtaka hata kwa £10m.
Henderson pia hatopotea kwa Maombi Bali ni kwa Maamuzi ya Kocha kusajili Mido yenye kipaji! Au kwa OX na Keita kuwa fiti (free from injuries).
Mkuu hapa umetumia hasira kuandika...Uncle Milner unamjua vizuri..anyway Liverpool japokuwa hatukusajili na tulitakiwa kusajili, lakini naamini kikosi chetu bado kipo vizuri...Wale wanaoendelea kuenzi Uafrika (kulialia na kulalamika) waendelee na tunaoangalia solution ya tatizo tuendelee kuwapa moyo wachezaji wetu....In football, No perfect 11Na Jengine ni kwamba kuimarika kwa Timu si kuwa na Idadi ya Wachezaji Wengi.
Bali kuimarika kwa timu ni kuwa na Wachezaji wenye Vipaji.
Kwahiyo Kuwa na Kundi kubwa la kina Hendo, Lovren, Kent, Brewster, Gini, Milner, Lonegar, Origi, Lallana na wengine haimaanishi kuwa ndiyo Tuna bonge la Timu.
Kuwa na Wachezaji Wengi wenye Vipaji na uwezo wa kujituma ndiyo Kuwa na Timu imara.
Sitokuwa na Muda wa kuomba eti tuwe na rundo kubwa la Magarasa ili tuonekane tuna kikosi kipana! Upana gani huo wakati akiumia Mane tu tunakuja hapa kulizana?
Man City anaumia Aguero na wanakiwasha moto bila ya hata kuzungumzia Pengo la Aguero.
Front 3 ya Man City:-
1) Sterling - Aguero - Bernardo Silva
2) Sane - Jesus - Mahrez
Front 3 ya Liverpool:-
1) Mane - Bobby - Salah
2) Origi - Brewster - Xhaqiri
Mido ya Man City:-
David Silva - Rodri - KDB
Foden - KDB - Guandogan
Mido ya Liverpool:-
1) Gini - Fabi - Hendo
2) Keita - Milner - Ox
Hiyo ya Man City ndiyo maana ya kikosi kipana.
Tofauti ya Man City na Liverpool.
√ Liverpool wanatafsiri kuwa na Wachezaji Wengi ndiyo kikosi kipana na ubora wa timu.
√ Man City wanatafsiri kuwa na Wachezaji Wenye Vipaji na Uwezo ndiyo Kikosi kipana na ubora wa timu.
√ That's why Liverpool amekusanya rundo la Magarasa na prone injuries kama Lovren, Lallana, Hendo, Lornegar, Milner, Gini, Xhaqiri akiamini kuwa kundi hilo ni depth na ndiyo kikosi kipana.
√ That's why Man City amefanya utaratibu wa kuachana na Kompany, Kutafuta mbadala wa Fernandinho ambaye ni Rodri, Na kila msimu kusajili Wachezaji bora na wenye Vipaji akiamini Ubora na Kipaji cha Mchezaji ndiyo Timu imara na kikosi kipana.
Mkuu hapa umetumia hasira kuandika...Uncle Milner unamjua vizuri..anyway Liverpool japokuwa hatukusajili na tulitakiwa kusajili, lakini naamini kikosi chetu bado kipo vizuri...Wale wanaoendelea kuenzi Uafrika (kulialia na kulalamika) waendelee na tunaoangalia solution ya tatizo tuendelee kuwapa moyo wachezaji wetu....In football, No perfect 11
Hendo aende benchi upande wake aende Ox na kushoto acheze GiniTomorrow (My Line-Up):
MANE - BOBBY - SALAH
AOC - FABI - HENDO
ROBBO - VVD - MATIP - TAA
ADRIAN
Subs
Lonerger
Gomez
Gini
Milner
Origi
Lallana
Xhaqiri
Defence ikitulia tu basi ushindi ni mweupe! Lakini ikijichanganya basi Auba atajua nini afanye.
Good..lakini tambua kuwa hatuko kwenye position ya kumtaka kila mzhezaji mzuri na tukampata....Tuwasupport waliopo tuKatika Uzi huu sijawahi kuandika/Kulalamika kuwa "TUNA KIKOSI KIBOVU" wala Sijawahi kulalamika kuwa "TUNA KOCHA MBOVU" lakini kinachonishangaza kila ninapoleta Mjadala hapa kuhusu hii Timu yetu watu huniattack kwa kauli hizi Why?
Au kjna mtu anahack Account yangu then anaandika "LIVERPOOL NI MBOVU?" na "KLOPP NI KOCHA MBOVU?".
Mimi sijasema Liverpool ni Mbovu! Bali napoint specific player na Kusema ni Mbovu! Kwahiyo nasema Hendo ni Mbovu.
Ninacholalamikia ni Kuwa " HATUNA KIKOSI KIPANA"..
Kwahiyo ningeomba watu watofautishe kati ya "KIKOSI FINYU" na "KIKOSI KIBOVU".
Hakuna ubishi ni kuwa Liverpool tuna kikosi bora nyuma ya Man City tu kwa pale EPL.
Hendo aende benchi upande wake aende Ox na kushoto acheze Gini
Nakuelewa sana mkuu, umecomment vzr sana, asipoelewa na hapa tumwache tuMkuu hapa umetumia hasira kuandika...Uncle Milner unamjua vizuri..anyway Liverpool japokuwa hatukusajili na tulitakiwa kusajili, lakini naamini kikosi chetu bado kipo vizuri...Wale wanaoendelea kuenzi Uafrika (kulialia na kulalamika) waendelee na tunaoangalia solution ya tatizo tuendelee kuwapa moyo wachezaji wetu....In football, No perfect 11
FactGood..lakini tambua kuwa hatuko kwenye position ya kumtaka kila mzhezaji mzuri na tukampata....Tuwasupport waliopo tu
Hapa ndipo watu wengi wanakwama tushindane kwa facts ,big mind discussing issues not personalities nakuunga mkono .Pale unapokosa hoja au facts na kuanza personal attacks kama hizi basi sins zaidi ya kukwambia kila la kheri.
Mimi hupenda mijadala na watu wanaonipa changamoto ya hoja na facts na sio wanaotumia misamiati ya 'ufinyu wa kufikiri'... 'kufikiri ovyo hovyo'... n.k. hiyo inatafsiri kuwa unanidharau ili nijione dhaifu kwako unayepigana a losing battle.
Ni bora ungeleta Facts hapa za kuprove huo ufinyu wangu wa fikra upon wapi?
Huko kufikiri ovyo kuko wapi?
Ni sawa na yule wa mshabiki wa Manure kwenye Uzi wao baada ya kujiproud kwa Makombe, mimi nikamuekea mchanganuo mzima wa Makombe yote ya Liverpool na ya Man United basi akashindwa kuchallenge nilichomletea akaishia kunishambulia.
Smart guy hutumia Facts kuprove what is right
Noise maker hutumia attacks kuprove who is right
I rest my case
he is earning too much to warm the bench and being injury prone hatufai tenaaaaa....hata bure wamtoe..The self claimed best centre back in the world (Lovren) naona ananadishwa kama viatu vya Mtumba lakini hakuna timu inayomtaka hata kwa £10m.
Tulipokua tunakosoa uchezeshwaji wa huyu tulitaka kuaminishwa kwamba atatupatia EPL na UCL kwa kisingizio cha Soccer management.
he is earning too much to warm the bench and being injury prone hatufai tenaaaaa....hata bure wamtoe..