Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kwa ile midfield niliyoina tangu community shield mpaka game ya jana naamini Grujic anaingia moja kwa moja kwenye lineup
 
Uchambuzi bora kabisa
 
Mimi nadhani tuachane kwanza na hii Formation 4 3 3 kwa sasa,Klopp ajaribu ku - switch kwa 4 2 3 1.
 
Chelsea inaenda kucheza championship msimu ujao, ni timu ambayo kwa sasa inacheza jihadi tu hakuna lolote mbinu na mipango hakuna, wanakimbia hao uwanjani daaaah, au preseason wenzetu walikuwa wanafanya mazoezi ya kukimbia?
[emoji23]
 
Kwa Fabinho hapo jana uliona kama nilivyoona
 
Tunachotaka sasa hivi ni ushindi na vikombe, mpira mzuti na mwingi tutacheza baada ya kabati kujaaa

Kwanza Tubebe Hili Mickey Mouse la Fifa Club World Cup then mengine yatafuata baadae.

Tukishabeba hilo basi hesabu za EPL na UCL Mimi nitaziangalia kwa Next season lakini kwa Msimu huu nitakuwa nimesharidhika na Mafanikio hayo.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…