Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,723
Amekiri alikosea klopp bhanaKlopp admits Liverpool selection mistake & makes Firmino declaration
Jurgen Klopp accepted it was a tough night for Alex Oxlade-Chamberlain in the Super Cup final against Chelseawww.liverpoolecho.co.uk
Una nyota hafifu sana kwenye utabiriMan city waliwatoa kwa penalt,leo itakuwa hivyo hivyo.
Hapa ndipo nilipoamua kutelekeza kila kitu. Zima TV, zima simu, fungua chupa ya Grants... kunywa kwa fujo then kitandani.Sio penat
Refa ...... Aaaha
We played very poorly JanaTumechukua Super Cup ya 4
Klopp tupe EPL sasa kisha chukua sabbatical leave
We need EPL now
Huku kwenye kimataifa umeshinda kila kitu kikubwa
Asante sana Klopp
Nilishindwa kuangalia game yote. Mi sipendagi kufa kwa presha.We played very poorly Jana
Kama tunataka ubingwa, basi kuna kaZi ya ziada kufanyika
Viwango vya baadhi ya wachezaji wetu lazima vibadilike haraka sana
DaaaaaaahHapa ndipo nilipoamua kutelekeza kila kitu. Zima TV, zima simu, fungua chupa ya Grants... kunywa kwa fujo then kitandani.
Mamamamae... mimi sipendi kufa kwa presha.
Asubuhi nadamka fasta cheki Livescore nakuta tumenyaka kombe... mamamamae piga funda moja la grants. Naelekea kuwajibika kifua mbele!
Ahsante sana vijana wangu wa Anfield... leo nawazawadia michepuko yangu muitumie mtakavyo
Chelsea walikuwa na siku 1 tu ya kupumzika baada ya kulalishwa na viatu kwenye mechi ya UnitedTimu haijachoka, Chelsea walipanga kikosi imara tofauti na mechi ya Man U.
Nani wameshinda?This one is over.
Let's work on the ultimate, EPL.
indeed whats a story.....Two weeks ago, Adrián was a free agent, training with a semi-pro Andalusian side that plays in the Spanish sixth division.
Today, at 32, he wins the 1st trophy of his professional career, saving Tammy Abraham's penalty to win the 2019 UEFA SuperCup for Liverpool.
What a story.
hawa vijana hawana tene ile intensity ya last season...Fabinho pale kati ipo shinda we are being overrun every now n then...jana Chelsi hawakua makini but hii gemu was thiers to win...We played very poorly Jana
Kama tunataka ubingwa, basi kuna kaZi ya ziada kufanyika
Viwango vya baadhi ya wachezaji wetu lazima vibadilike haraka sana
hili kombe litampa more confidence tuedako natarajia iwe timu yote watarudisha ari,kazi kazi gemu zijazo...Nakumbusha
Andrian ni FREE AGENT.
thanks Oc, japo hamjasajili hakika hampo vmbaya kiivyo na endapo Kante, Pendro watakua wazima msimu huu naona mkifanya vyema...Hongereni sana Liverpool ..you deserve it..
Wewe naona hukuangalia mpira jaribu kuwauliza wenzako watakwambia ukweli.Chelsea inaenda kucheza championship msimu ujao, ni timu ambayo kwa sasa inacheza jihadi tu hakuna lolote mbinu na mipango hakuna, wanakimbia hao uwanjani daaaah, au preseason wenzetu walikuwa wanafanya mazoezi ya kukimbia?
lol pole utabiri wako haujafanikiwa...Man city waliwatoa kwa penalt,leo itakuwa hivyo hivyo.
Nani wameshinda?
Hukunipa ratiba ya mechi