Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kuna sehemu nilisoma amesema hawezi kuirisk EPL kwa ajili ya UCL.

Kubeba CL ni kama asili kwa timu husika.

Nikiitazama Intermilan ya 1998 - 2000 ilisheheni kila Kipaji lakini ilishindwa hata kucheza Fainali ya CL.

Ukija PSG ya last 2 seasons utaiona ina kila kipaji lakini still imeshindwa hata kufika Nusu Fainali ya CL huku ikitolewa na Man U iliyokuwa ikisuasua.

Ukiiangalia Man City tuliyoitoa sisi kwa kuifunga Nje ndani ilitimia kila pahala lakini still ilishindwa kuitoa Liverpool ya beki Lovren na Mido Hendo na Milner.

Kwahiyo Kubeba CL ni kipaji na asili maalum na kupania ubebe.

Pep hawezi kubeba CL na City
am positive Pep alisajiliwa City kwa ajili ya Champions League na si kingine...

how he make that happen is still a puzzle to him n his owners maana they have th right players kushinda hilo taji minus the right fans...

Fans wa Manciti which play r very important role sio kama Fans wa majogoo....usiku wa Champions League pale Anfield hali hubadilika th opposition get chills all over, usione Barca, PSG walifungwo Anfield ukadhani ni uwanjani tu hapana mashabiki kwa kweli kazi yao wanaijua we are damn lucky hatuna plastic fans kama Manciti...

am positive if Pep had fans like Anfield fans angeshachukua UCL mpaka sasa....
 
IMG_6015.JPG
 
Mwaka mmoja kabla ya cfc kubeba CL Iliishia nafasi ya ngapi,
Ktk finali mbaya ya Cl kuwahi kutokea ni ya liver na totts unalizungumziaje hilo
Chelsea alivyobeba CL ni sawa na Leicester City alivyobeba EPL.
Walibahatika kuwa katika hiyo misimu husika Timu zote hazikuwa vizuri kuweza kupambania hayo Makombe.

Na Ndiyomana baada ya kubeba tu (Chelsea & Leicester) wakaishia kupotea katika hiyo makombe.

Sasa na City labda avizie msimu ambao timu kama Bayern, Liverpool, Barcelona na Madrid hazipo vizuri zote 4 ndiyo anaweza kupambana yeye, Juve na PSG mmoja wapo kuweza kubeba CL.
 
Iwapo Klopp atafanya hivi msimu huu:-

GK: BECKER
RB: TAA
LB: RBBO
HB4: MATIP
CD: VVD
HB6: FABI
CM: GINI
AM: KEITA
RW: SALAH
LW: MANE
CF: BOBBY

Basi sina wasiwasi tutamaliza msimu na vicheko kama last season.
 
Chelsea alivyobeba CL ni sawa na Leicester City alivyobeba EPL.
Walibahatika kuwa katika hiyo misimu husika Timu zote hazikuwa vizuri kuweza kupambania hayo Makombe.

Na Ndiyomana baada ya kubeba tu (Chelsea & Leicester) wakaishia kupotea katika hiyo makombe.

Sasa na City labda avizie msimu ambao timu kama Bayern, Liverpool, Barcelona na Madrid hazipo vizuri zote 4 ndiyo anaweza kupambana yeye, Juve na PSG mmoja wapo kuweza kubeba CL.
Kuna muda unaongea vitu vya maana, kuna muda unaongea pumba..
 
am positive Pep alisajiliwa City kwa ajili ya Champions League na si kingine...

how he make that happen is still a puzzle to him n his owners maana they have th right players kushinda hilo taji minus the right fans...

Fans wa Manciti which play r very important role sio kama Fans wa majogoo....usiku wa Champions League pale Anfield hali hubadilika th opposition get chills all over, usione Barca, PSG walifungwo Anfield ukadhani ni uwanjani tu hapana mashabiki kwa kweli kazi yao wanaijua we are damn lucky hatuna plastic fans kama Manciti...

am positive if Pep had fans like Anfield fans angeshachukua UCL mpaka sasa....
Nawaza Pep aja Liver baada ya City
 
NOMINEES: 2018/19 UCL Defender of the Season

VVD
De LIGT
TAA

🗓 UEFAawards winners announced at the UCLdraw, 29 August 🏆
 
NOMINEES: 2018/19 UCL Forward of the Season

⭐️ Lionel Messi
⭐️ Sadio Mané
⭐️ Cristiano Ronaldo

🗓️ UEFAawards winners announced at the UCLdraw, 29 August 🏆
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom