MKUYENGE
JF-Expert Member
- Jun 26, 2019
- 4,106
- 4,618
unahama unaenda kujifungua au?Kuna wale madogo walionunuliwa naona wote wameshatupwa U23
Next season wanatafutiwa timu za Mkopo
Tunabaki na kikosi kilekile cha last season ambacho tumeambiwa Lallan na OX ni new signing.
Iwapo Lallana na OX watacheza game 10 mfululizo bila ya injury ya zaidi ya wiki 4 nahama JF



sihitaji kitu arifu, ila pole, inaonyesha umevurugwa huko ulipo, pole mkuu