OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,961
- 25,313
Juzi city kacheza chini ya kiwango(kiwango cha kucheza na timu kna Arsenal iv au Man united[emoji3][emoji3][emoji3]) lakin mumeshindwa kabisa kumtoboa. Hope Klopp kajifunza, ila katika gem mbili zilizobakia dhid ya city tuna uhakika hamutabeba point hata moja..EPL ndio murwa zaidi tukiipata ndugu yangu ila sasa namna ya kumzima huyu Manciti itabidi kujipanga zaidi...
Juzi city kacheza chini ya kiwango(kiwango cha kucheza na timu kna Arsenal iv au Man united[emoji3][emoji3][emoji3]) lakin mumeshindwa kabisa kumtoboa. Hope Klopp kajifunza, ila katika gem mbili zilizobakia dhid ya city tuna uhakika hamutabeba point hata moja..
It's not fair Harry Wilson is better than many players kwenye squad ya Liverpool like Lallana.Nimesikitika kwa hii habari
Heheheh intensity ya Liverpoolfc sio ndogo pep hapo anajiuliza how comes they won possession??Kucheza vibaya kwa Man City ni kutokana na Ubora wa Mpinzani wake Liverpool.
City huyuhuyu angelicheza na Chelsea basi musingelionekana uwanjani mukaishia kupigwa 6 kama kawaida yenu.
Hendo atasugua sana benchmkuu sioni Hendo akisugua benchi labda awe majeruhi otherwise mido ya Fabi-Gini-Keita ingetufaa sanaa ama Fabi-Ox-Keita na wakati mwingine Fabi-Naby-Milner...
Kuhusu beki wasiwasi wangu ni TAA akicheza upande mmoja na Hendo hapo naona majanga maana zile diagnol balls zitamsumbua tumeona juzi alipata shinda ya kutosha na pia vs Napoli, vs Sporting CP ilikua hivyo hivyo...he was caught offguard a few times na hilo linanipa wasiwasi cz oflate amekua so poor without the ball...
am positive by Furahaday vs Norwich the boys il be upto th task...
Come on Reds here we goooooo....💯💯💯😎😎😎
Mwambie pep hajawahi kua na masihara na mechi yoyote ile.Kucheza vibaya kwa Man City ni kutokana na Ubora wa Mpinzani wake Liverpool.
City huyuhuyu angelicheza na Chelsea basi musingelionekana uwanjani mukaishia kupigwa 6 kama kawaida yenu.
Ila kuna makipa bora wa kuotea kuzuia penaltyHakuna penalt ya kumlaumu.goalkeeper overwise uwe umevuta bangi
Not always true!!Kucheza vibaya kwa Man City ni kutokana na Ubora wa Mpinzani wake Liverpool.
City huyuhuyu angelicheza na Chelsea basi musingelionekana uwanjani mukaishia kupigwa 6 kama kawaida yenu.
Heheheh intensity ya Liverpoolfc sio ndogo pep hapo anajiuliza how comes they won possession??
mkumbushe game ya Barca. camp nou barca alipata tabu kutoa matokeo.
Tangu lini pep akachezesha chini ya kiwango??
Na mwisho mwambie mechi iliisha draw (1-1) ndio maana hata magoli ya matuta ya mtoano hayawekwi kwenye rekodi yoyote (kila atakayefunga aongezewe idadi ya magoli yake).
German journalist: History suggests whenever Liverpool finish second on the log, the next season they fail to make top four and struggle. Do you fear a repeat?
Jurgen Klopp: History is broad, it depends on which part you read it. There is also a history that whenever I lose 3 games of my opening 6 games, I win the trophy. At Dortmund I lost 3 games in opening 6 games, I won league for first time. In Champions league I lost 3 games of opening 6 games, I won it for first time. I have lost 3 games in opening 6 friendly games. That is a good sign eerh?
Klopp [emoji1430]
Not always true!!
Inawezekana pia kucheza vizuri kwa Liverpool ni kwa sababu ya ubovu wa Mancity - always round may be true
Kutokana na ubora wa Liverpool umeshindwa kumfunga city aliyecheza chini ya kiwango. Sasa ukikutana na timu zenye hasira kama man united au Chelsea hesabu maumivu.Kucheza vibaya kwa Man City ni kutokana na Ubora wa Mpinzani wake Liverpool.
City huyuhuyu angelicheza na Chelsea basi musingelionekana uwanjani mukaishia kupigwa 6 kama kawaida yenu.
Mwisho wa game aliyeshinda ni Man city, wewe na ubora wako ulipigwa. Allison ni risk kwenye penalty, usiombe mufike hatua hiyo kwenye final yeyote mtakayocheza msimu huu.(bahati mbaya sana hakuna final mutaingia tena)Heheheh intensity ya Liverpoolfc sio ndogo pep hapo anajiuliza how comes they won possession??
mkumbushe game ya Barca. camp nou barca alipata tabu kutoa matokeo.
Tangu lini pep akachezesha chini ya kiwango??
Na mwisho mwambie mechi iliisha draw (1-1) ndio maana hata magoli ya matuta ya mtoano hayawekwi kwenye rekodi yoyote (kila atakayefunga aongezewe idadi ya magoli yake).
nimeona kwenye BBC Sport gossip column eti Manure watamsajili Eriksen.Hata Messi huwa anakosakosa ila quality ya umaliziaji yake ndio tunasema ni deadly finisher, kwamba anapokukosa ni basi tu bahati ya aliekoswa
Eriksen ni top finisher chance zinapomkuta kumkosa mtu ni aghalabu different from Harry Kane ambae timing&accuracy sio mzuri same to Son Hyeung-min
Wacheki Spurs msimu huu hata kama huwashabikii uone jamaa(Eriksen) chances zikija alivyo mzuri/sharp kuzitumia ipasavyo
Inawezekana mkuu kwa sababu tetesi zinazotrend zinasema Bruno Fernandes ameshamalizana na Spurs kwahiyo Eriksen anaweza kwenda united.nimeona kwenye BBC Sport gossip column eti Manure watamsajili Eriksen.
nimepata khofu kidogo maana this guy will significantly transform that Manure static and slow midfield!
nimeona kwenye BBC Sport gossip column eti Manure watamsajili Eriksen.
nimepata khofu kidogo maana this guy will significantly transform that Manure static and slow midfield - not so good news to us oh!
aisee Eriksen ni kifaa..... Manure wakimpata huyu jamaa itakuwa shida!Inawezekana mkuu kwa sababu tetesi zinazotrend zinasema Bruno Fernandes ameshamalizana na Spurs kwahiyo Eriksen anaweza kwenda united.