Don njinji
JF-Expert Member
- Dec 29, 2017
- 688
- 1,556
Kwani aliekuwa anawatoa wafungaji wote epl kuwa hawana uwezo Kama wa salah alikuwa anatumia kigezo gani!?Unavyosema harry na aguero ndio wachezaji PEKEE wanaokupa uhakika wa magoli kuanzia 20 Salah unamtoa kwa kigezo gani haswa wakati yeye amethibitisha kua bora katika kufunga.
Hajawatoa ila amesema yeye anaona salah ndio bora hata wewe pia kuna unaeona ni bora lakini nimequestion kusema wawili tu ndio PEKEE wanakupa 20+ goals kwa season kwa UHAKIKA wakati Salah AMETHIBITISHA kua magoli kwake ni hatari ndio maana nikasema kwa kigezo gani ememtoa wakati yeye magoli ndio ubora wake mkuu.Kwani aliekuwa anawatoa wafungaji wote epl kuwa hawana uwezo Kama wa salah alikuwa anatumia kigezo gani!?
Labda sielewi maana ya finisher, Eriksen anakuwaje finisher mzuri hapo tot? Ungeniambia eriksen ni mpika mabao tot ningeelewaAguero hayupo level moja na Mo Salah kwenye umaliziaji kadhalika Harry Kane au Hazard
Salah anajua kufinish pale EPL
Hazard angekuwa finisher mzuri kuliko Mo Salah angefunga goli zaidi ya 20 kila msimu sababu yupo exposed sana na Chances kuliko Salah cha ajabu kacheza misimu yote hiyo hajawahi fikisha goli 20, hata 17 tu nina wasiwasi na tena ndio penalty taker wa Chelsea
Kane strength yake anapiga mashuti mazito sana, ila sio finisher kumfikia Mo Salah , Spurs finisher wao bora ni Eriksen
Aguero ni mpiga mashuti mzuri sio finisher mzuri, kwa city finishers ni DeBruyne na Bernado Silva halafu huyu Aguero anapooza sana move za kufunga kama mwenzie Kane
Salah anakufanyia finishing ya kuugongesha mpira kwenye post kuwa goli(ana shabaha sana kama anataka kufunga kwa kutambaza mpira)
Kama humjui/hujamfuatilia kwanini uhisi hana uwezo??KIUKWELI SIJAWAHI KUMFATILIA HUYU KIPA MPYA TULIYESAJILI LAKINI KWELI SI NI BORA MIGNOLET ANA AFADHALI? AU NAMFANANISHA TU?
IVI NDIYO ANA MIAKA 32?
NAHISI HATA KARIUS NI DE GEA MBELE YA HUYU KIPA MPYA
Nimesikitika kwa hii habariHARRY WILSON OFF TO BOURNEMOUTH
Hata Messi huwa anakosakosa ila quality ya umaliziaji yake ndio tunasema ni deadly finisher, kwamba anapokukosa ni basi tu bahati ya aliekoswaLabda sielewi maana ya finisher, Eriksen anakuwaje finisher mzuri hapo tot? Ungeniambia eriksen ni mpika mabao tot ningeelewa
The same kwa man city ,finisher pale ni rahim ,ambaye hana tofauti na salah kosa kosa zao, salah ninachokiona mm ,ana aina ya mpira ili umfaidi ,atanguliziwe awe free hatakuacha ,ila akiwa na watu anakuwa kama anataka kufanya vitu kama messi , pia hana first touch nzuri ,ila akiwa free au aletewe mipira free ambapo watu waliompatia sana niliowaona ni TAA, OX na hata COUTINHO alikuwa anajua amuwekee mipira kwa wakati gani, bas salah atakumaliza mapema.
Kaamua tuuKama humjui/hujamfuatilia kwanini uhisi hana uwezo??
hizo zote ni kama lipuli tuNyie mojogoo mnaiwaza sana city, ila tu niwambie kuna mbwa koko nyingine zotawatoa udenda
Spurs
Man u
Chelsea
Wolves
[emoji23][emoji23][emoji23]
Kama humjui/hujamfuatilia kwanini uhisi hana uwezo??
Harry Wilson transfer to Bournemouth seems to be very likely dah very sad kwa Harry amejaribu sana sana kum - impress Manager lakini imeshindikana.
Ramsey hakuwa na uwezo vipi kuhusu Emre can au Dani alvesKwasababu Kafikia mpaka yupo Free sijaona Timu inayomgombania.
Mignolet na ubovu wake wote lakini timu zilikuwa zikimgombania.
Sasa Kipa gani anayekosa timu huyo mpaka tukampata bure bila ya mpinzani?
Hicho ndiyo kigenzo nilichotumia kumtoa uwezo.
Ramsey hakuwa na uwezo vipi kuhusu Emre can au Dani alves
Huenda alikua approached na timu lakini yeye hazikubali
All in all usimjudge mtu usiye jua uwezo wake tusubiri apate nafasi alafu kuanzia hapo utakuwa sahihi
mkuu sioni Hendo akisugua benchi labda awe majeruhi otherwise mido ya Fabi-Gini-Keita ingetufaa sanaa ama Fabi-Ox-Keita na wakati mwingine Fabi-Naby-Milner...Mbona kwa Ninavyoiona Timu yetu baada ya game ya Juzi vs Man City Nahisi Msimuu huu tupo katika Nafasi Nzuri Zaidi ya Kubeba EPL kuliko msimu uliopita?
Game ya Juzi ni Kasoro Mbili tu ndiyo nilizoziona.
1) Defence ilikuwa ni disaster walipokuwa wakicheza VVD-GOMEZ.
Ikawa sawa baada ya kuingia Matip wakacheza VVD-MATIP.
Kwahiyo maoni yangu tusitumie mazoea ya last season bado Gomez hajakaa sawa baada ya ile injury.
Kwasasa Defenders ni VVD-MATIP.
2) Mido yetu ilikuwa ni disaster walipocheza HENDO-FABI-GINI.
Ilikaa sawa baada ya Sabs ya Keita na Lallana.
Bado game ya Juzi haijanipa mwanga wa kuwa nani hasa acheze kwenye Mido! But bado naprefer Mido ya FABI-GINI-KEITA.
Wakati umebeba majibu mazuri zaidi.Ramsey Alikuwa akitafutwa na timu nyingi tu mojawapo tukiwa ni sisi Liverpool.Emre aliwahi kufanya agreement ya Precontract na Juventus kabla ya Mkataba wake kuisha.
Dani Alves umri wake ndiyo tatizo.
Prove me wrong
Unaongea tu ili tuendelee kubishana...ligi ya epl miaka kumi nyuma unajua aina ya wachezaji waliokuwepo mpaka umuweke salah top 3!!?au ndio mahaba yamezid kwa salah.!!? An mind u nilimaanisha aguero na Harry wanauhakika wa magoli 20 na kuendelea kwa sababu alietoa hoja ya mwanzo alisema hawana uwezo Kama salah...Hajawatoa ila amesema yeye anaona salah ndio bora hata wewe pia kuna unaeona ni bora lakini nimequestion kusema wawili tu ndio PEKEE wanakupa 20+ goals kwa season kwa UHAKIKA wakati Salah AMETHIBITISHA kua magoli kwake ni hatari ndio maana nikasema kwa kigezo gani ememtoa wakati yeye magoli ndio ubora wake mkuu.
Hata tukienda statistically hakuna mchezaji kwa miaka 10 iliyopita atakaekua amemzidi kwa wachezaji wa liverpool na wa EPL statistically atakua 3 bora.
Kepa ni best penalty saver + Europa cup, msimu wake wa kwanza kanyayua kwapa.. although Allison ni bora ila kwenye penalties ni boya tu[emoji23][emoji23][emoji23]Ndo huyohuyo mwenye golden gloves kwenye mashindano yote aloshiriki. Kepa ana nini? Hata iron gloves anazo?
Ni kweli kabisa upo sawa, ila Allison ata wacost kweny final yeyote kama mtafikia hatuna ya penalty. Hajifunzi kwa mdogo wake Kepa.!! The best penalty saver[emoji3][emoji3][emoji3]!!!Hakuna penalt ya kumlaumu.goalkeeper overwise uwe umevuta bangi