Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Uzuri ni mawazo yako binafsi,so acha tuache uendelee kuamini unachoamini..."yaani Liverpool yote hakuna anaefikia uwezo wa SALAH"!!!?kweli ukipenda hata chongo unasema ni kengeza.
Man U really love Liverpool.Tumeshapoteza Trophy moja
Una maana katka umaliziaji Salah ni mzuri kuliko aguero!!?,hazard(kabla hajahama),mane,Harry kane.labda Kama mpira unaoangalia ewew ni tofauti na huu ninaouona Mimi..Salah ni mchezaji mzur ila kuanzia msimu uliopita kazidisha ubinafsi na katucost mechi Zaid ya mbili ambazo zilikuwa za muhimu.na Jana vilevile ukiacha chenga mbili tatu alizopiga kakosa kumaliza gemu zaidi ya mara mbili kwa kutaka kufanya Mambo peke yake...Salah atabaki kuwa Salah lakini ni kukosa heshima kusema hakuna mmaaliziaji Kama Salah kwenye Epl.Kwa Clinical finish EPL nzima labda Pogba na Bernado Silva kidogo ndio wanaweza kumfikia Mo Salah
Kwa kumalizia chances tafuta mchezaji wa EPL anaemfikia Mo Salah
Una maana katka umaliziaji Salah ni mzuri kuliko aguero!!?,hazard(kabla hajahama),mane,Harry kane.labda Kama mpira unaoangalia ewew ni tofauti na huu ninaouona Mimi..Salah ni mchezaji mzur ila kuanzia msimu uliopita kazidisha ubinafsi na katucost mechi Zaid ya mbili ambazo zilikuwa za muhimu.na Jana vilevile ukiacha chenga mbili tatu alizopiga kakosa kumaliza gemu zaidi ya mara mbili kwa kutaka kufanya Mambo peke yake...Salah atabaki kuwa Salah lakini ni kukosa heshima kusema hakuna mmaaliziaji Kama Salah kwenye Epl.
Ulipotelea wapiAdrian kipa wa zamani wa WHU anakuja kabla ya Ijumaa!
Napenda idea ya Klopp ya kuwapa nafasi hasa vijana!
Kipa huyu yoso Kelleher ni mzuri sana,akicheza FA na Carabao ataimarika zaidi
Mi nimesoma tu hapoKwani hao uliowataja si Salah ameshachezanao Misimu Miwili mfululizo na kubeba Kiatu Huku Harry Kane akidai kupewa mpaka magoli waliyofunga wengine?
Hebu tuambie ni umalizaji upi ulioukusudia ambao Salah hajawazidi hao uliowata?
Misimu Miwili Mfululizo Salah anaibuka Mfungaji bora wa EPL mbele ya hao uliowataja halafu unasema Hazard ni Mmalizaji bora kuliko Salah wakati Hazard anafikisha Miaka 29 bila ya kuwahi kufika hata goli 20 per season katika Career Yake yote?
Wakati mwengine Mkuu be Realistic Kwasasa EPL hakuna mshambuliaji bora kama Salah.
Unless uendeleze chuki tu zidiyake.
Nasema tena No Salah, No Liverpool.
Wengi wanaangalia kuwa tulimfunga Barcelona bila ya Salah huku wakisahau Kuwa Tulimfika huyo Barcelona kuchezanae kwasababu ya Juhudi za Huyo Salah.
Kwani sie ewew huko umesema Salah atashinda kiatu Cha dhahabu Tena msimu ila Kama aguero na kane wakiwa majeruhi...tuache unazi wote wakiwa wazima aguero na Harry kane ni wachezaji pekee wanaokupa uhakika wa magoli zaidi ya 20 Kila msimu..halafu nishakuambia mara kibao Mimi Sina chuki na Salah ila naongelea ukweli tatizo lako unataka unachokipenda ewew ndio Kila mtu akipnde...mpira haupo hivyo Mimi sadio mane na firmihno ndio wachezaji ninaowakubali hapo mbele lfc...na siwezi kumlazimisha mtu aone navyoona Mimi kwa kutoa maeelezo mareeefu.Kwani hao uliowataja si Salah ameshachezanao Misimu Miwili mfululizo na kubeba Kiatu Huku Harry Kane akidai kupewa mpaka magoli waliyofunga wengine?
Hebu tuambie ni umalizaji upi ulioukusudia ambao Salah hajawazidi hao uliowata?
Misimu Miwili Mfululizo Salah anaibuka Mfungaji bora wa EPL mbele ya hao uliowataja halafu unasema Hazard ni Mmalizaji bora kuliko Salah wakati Hazard anafikisha Miaka 29 bila ya kuwahi kufika hata goli 20 per season katika Career Yake yote?
Wakati mwengine Mkuu be Realistic Kwasasa EPL hakuna mshambuliaji bora kama Salah.
Unless uendeleze chuki tu zidiyake.
Nasema tena No Salah, No Liverpool.
Wengi wanaangalia kuwa tulimfunga Barcelona bila ya Salah huku wakisahau Kuwa Tulimfika huyo Barcelona kuchezanae kwasababu ya Juhudi za Huyo Salah.
Yaani Kuna vitu vingine mpaka unajiuliza huyu mtu anapoandika kitu hiki yupo ktk wakati gani....ETI NO SALAH NO LIVERPOOL.Mi nimesoma tu hapo
No Salah no liverpool? Kama ndo hivyo henderson anastahili kabisa kupata namba liver hata akiwa injured
Kwani sie ewew huko umesema Salah atashinda kiatu Cha dhahabu Tena msimu ila Kama aguero na kane wakiwa majeruhi...tuache unazi wote wakiwa wazima aguero na Harry kane ni wachezaji pekee wanaokupa uhakika wa magoli zaidi ya 20 Kila msimu..halafu nishakuambia mara kibao Mimi Sina chuki na Salah ila naongelea ukweli tatizo lako unataka unachokipenda ewew ndio Kila mtu akipnde...mpira haupo hivyo Mimi sadio mane na firmihno ndio wachezaji ninaowakubali hapo mbele lfc...na siwezi kumlazimisha mtu aone navyoona Mimi kwa kutoa maeelezo mareeefu.
Yaani Kuna vitu vingine mpaka unajiuliza huyu mtu anapoandika kitu hiki yupo ktk wakati gani....ETI NO SALAH NO LIVERPOOL.
Yes !!!! Salah ndio alitupeleka kwa goli sawa ,ile save SAVE ya Allison Dk ya 90+4.,Mkuu kila mchezaji ana umuhimu kwenye Department yake ,Salah ni mchezaji muhimu kweenye idara anayoicheza the same kwa Alison, Djik ,Fabinho etc lakini sio kusema No Salah No Liverpool man uko wrong.Nasema hivyo kwa uhakika kuwa aumie Salah akaejuu mpaka January tu, Basi pamoja na hao Mane na Firmino hatuingii hata Top Four.
Salah ndiye aliyetupatia points 97 msimu uliopita, Na ndiye aliyetuvuusha hatua ya Makundi kwenye CL against Napoli.
Tusingemfunga Napoli basi huyo Barcelona munaejisifia tumemfunga Bila ya Salah tusingelikutana nae.