Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,482
- 32,939
Sterling ile nafasii duh ni ngumu kujua kashindwa aje pale kumaliza gemu...Naona analaumiwa Salah badala ya Sterling ambaye alipaswa kumaliza gemu mapema mno ,Salah alikuwa safi ila sterling kawakera hata Liverpool anakosaje nafasi za wazi vile
Beki yetu ni VVD - MATIP na si venginevyo
Gomez need his instinct back ASAPBeki yetu ni VVD - MATIP na si venginevyo
Salah natarajia ule ubinfsi wake utakua msimu huu haujirudii tenaaa..Forward yetu ni SALH - BOBY - MANE na si venginevyo
Kufunga ni ART waingereza wanataka kufundishwa kila kituSterling ile nafasii duh ni ngumu kujua kashindwa aje pale kumaliza gemu...
Hahaha mkuu hayo ndo maneno ya fans wa Liverpool. Wao wanataka EPL na UEFA tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wakati wengine wametoa machozi mkuu. Be serious aisee. Sema uwezo wa kulibeba ndiyo hamna
mkuu ninyi ci munataka EPL na UEFA tu.?hahaha hakuna cha mbuzi wala kondoo...
Nmetukana matusi yote leoKazingua big time aisee ametunyima ushindi
Ndo huyohuyo mwenye golden gloves kwenye mashindano yote aloshiriki. Kepa ana nini? Hata iron gloves anazo?Allison failed to save any penalty ..what a goalkeeper[emoji23][emoji23][emoji23]
kabisa Salah was the best attacking player upande wetu, kagonga mwamba mara mbili...
Yah, tumevuta £6.2BREAKING NEWS::
Simon Mignolet set to join Club Brugge.Due to undergo medical tomorrow.
Yah, tumevuta £6.2
Kuondoka kwa Mignolet means Liverpool haina Golikipa namba 2 kwa kipindi hichi, Akiumia Alisson leo hii Game yetu ya ufunguzi ya EPL kipa atakaa Fabinho.
Kwani Makipa wetu Wawili Madogo wa U23 Caiomhin Kelleher na Viteszlav Jaros wote ni injured.