Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

IMG_5905.JPG
 
Philippe Coutinho's agent Kia Joorabchian: “I think Liverpool lies very, very deeply in his heart. He was wishing for them to win the title & he has a very strong affinity there so I think it will be very difficult for him to go to a direct competitor.”
 
Nakumbuka tulimtaka Thomas Lemar Yukawa kwenye mazungumzo hatimae Arsenal wakabid £90m bei ambayo hata nusu Yake alikuwa hafiki thamani hiyo.
Hatimae Liverpool wakamkosa, na Arsenal wakamkosa.

Na sasahivi baada ya kuwa tunamtaka Nicolas Pepe basi Arsenal wameshachomekea bid ya £72m bei ambayo ni ya kukwamishana kumnunua.

Jamaa kazi kuvuruga bei za wachezaji tu huku wakijua kuwa wachezaji wenye Ndoto hawaitaki timu yao.
 
Ndio tabia yao hao wazee wa kuuliza bei wakiona maji marefu hawarudi kama ilivyo kwa Zaha
 
Philippe Coutinho's agent Kia Joorabchian: “I think Liverpool lies very, very deeply in his heart. He was wishing for them to win the title & he has a very strong affinity there so I think it will be very difficult for him to go to a direct competitor.”
We still need a player like him.The one that can add creativity and play as a number 10 in 4:2:3:1 or even in our common 4:3:3.The one that can convert at least 40% of direct kicks near the opponent goal to goals.Coutinho is still classic and should the club return him back i have no problem with that
 
Philippe Coutinho's agent Kia Joorabchian: “I think Liverpool lies very, very deeply in his heart. He was wishing for them to win the title & he has a very strong affinity there so I think it will be very difficult for him to go to a direct competitor.”
Si alisingizia hadi kuumwa alipo taka kuondoka abaki ukouko.

Na hisi hatafanikiwa popote tena
 
Kuna gem si mda mrefu wadau mpo kimya.

ANAE JUA STREAMING LIVE LEO NICHEKI VIJANA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom