Masamila
JF-Expert Member
- Jun 22, 2014
- 6,505
- 7,465
Taarifa ni kwamba Ox,Gomez, Lallana watakua kama usajili mpya kwa vile wanaanza pre season wakiwa wazima hivyo sasa Klopp kusajili tutegemee 50/50...
Itatucost I think tunatakiwa kusajili ili kujiweka katika ushindani
Man City benchi lao kwa Forwards wapo Jesus, Sane na Mahrez
Middle hasa DM wana watu kama matatu au wanne kabisa(Fernandinho, Rodri, Zinchenko na Fabian Delph) non-DM wapo wanne (DeBruyne, David Silva, Gundogan,Foden) Beki pia wako wa kutosha tu
Sasa huku akiumia Fabinho DM majanga, akiumia VVD CB majanga