Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mashabiki wa LFC wa UK shida sana

Siku moja nilikuwa nafuatilia debate ya kwa nini LFC haijawahi chukua EPL kwa miaka 29 sasa majibu ya kutoka kwa British reds ndio yaliniacha hoi, reds from Britain wanatetea uzawa katika timu wakidai kuna waliopata mafanikio makubwa huku Squad nzima ni homegrowns
 
IMG_5652.JPG
 
Huo NI ukweli ni mchezaji ghali kwenye dunia ya Leo ila niamini mkuu kuwa na mbape (Kama itawezekana)..NI ubingwa tosha...kwa timu ilivyo now ukiingeza mtu dizaini ya mbape aisee ntaweka nyumba uweke jiwe tunachukua ubingwa na makombe zaidi ya moja.
Pale mbele akiwepo,mane mbape na salah itakua ni shida kabisa
 
£250m and £400K per week just for Mbappe? Big No

Tuachane nao hao wachezaji wakutaka mishahara mikubwa halafu uwanjani wavivu kukaba timu ikishambuliwa anasimama mbele tu.

Kumlipa mshahara mkubwa kabla ya kuonesha kiwango hapo ni kutake risk. Unamlipa huo mshahara anakuja kuwa flop hasara kwetu.

Kwa mtazamo wangu huyo mchezaji hatufai kabisa hapo,me sipendi hao wachezaji wenye majina waje hapo.

Kama wanataka hela waende barca au Madrid huko, wakauze na jezi.
 
unTaka mpape aonyeshe kiwango gani boss?
 
Huo NI ukweli ni mchezaji ghali kwenye dunia ya Leo ila niamini mkuu kuwa na mbape (Kama itawezekana)..NI ubingwa tosha...kwa timu ilivyo now ukiingeza mtu dizaini ya mbape aisee ntaweka nyumba uweke jiwe tunachukua ubingwa na makombe zaidi ya moja.
hahaha like serious ndugu uweke nyumba hivi hivi lol...ishu ni kwamba PSG hawana mpango wa kumuuza labda ndogo aamue mwenyewe anataka kusepa basi watafanya biashara...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom