Mnyakatari
JF-Expert Member
- Oct 25, 2010
- 2,101
- 1,909
Last time i watched him he was very promising...I have not seen him lately thoughal
all the best to Ojo
Last time i watched him he was very promising...I have not seen him lately thoughal
all the best to Ojo
tetesi ni kwamba Rhian atapewa nafasi msimu mpya, ni moja ya ahadi alizopewa wakati anaongeza mkataba mwaka jana..
Sitaki hata kuzisoma hizi taarifa za usajiliMmmh nahisi ushindi wa UEFA umetulevya,yan sisi kila siku tunakuwa linked lakin kusajil wapi.
Bring Pepe na Fekir anfield basi roho zetu zitulie.
lol the same Lovren au mwingine...
dirisha bado sana jamaa ebu mtulie aisee naamini tunaowahitaji watakuja tuSitaki hata kuzisoma hizi taarifa za usajili
kabisa Rhian na Origi watakua back up pale mbele, hii ndio plan ya Klopp.Itakuwa poa sana
That lad got talent
sure under our very own SG8 he will be great...Last time i watched him he was very promising...I have not seen him lately though
kabisa Rhian na Origi watakua back up pale mbele, hii ndio plan ya Klopp.
Ila huyu jamaa alikuwa shati cjapata ona![]()
Acha masihara wewe karius hajawahi kuwa bora hata zaidi ya ManulaKarius is and was way better than Mignolet, forget about his blunders that final
Acha masihara wewe karius hajawahi kuwa bora hata zaidi ya Manula
Mignolet huwezi mfananisha na huyo mwehu...bora nimchukue kindokiMzee baba kwa hiyo unaambiwa uchague kati ya Simon Mignolet na Lorris Karius wewe unamchagua Simon Mignolet?
Mignolet huwezi mfananisha na huyo mwehu...bora nimchukue kindoki
Humjui mignolet vizuri wewe...sio wa kumfananisha na kariusKatika vitu ambavyo nilimkubali Klopp ni alivompiga benchi Mignolet kisha kumuweka golini Karius.
Klopp alipatia pale, somehow Karius ana talent kuliko Mignolet
Waingereza wabaguzi sana ,haingii akilini wamtishie maisha Karius kisa ule uzembe aliofanya fainali