Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Nadhani utakuwa hujawahi kuwasikiliza Wachambuzi wa Bongo.

Baada ya kufungwa 3 na Barcelona Mourinho alisema kuwa Liverpool anaweza kupiga Comeback na kusonga mbele.

Lakini wachambuzi wa Bongo walisema hilo haliwezekani.

Halafu wachambuzi wenyewe ni kina Shaffih Dauda ambao wanachambua mapenzi ya timu zao badala ya mpira wakati mchambuzi anatakiwa awe Neutral.

Kuwa neutral ni kazi hasa unapozungumzia timu usiyoipenda

IMG_9420.JPG
 
Mkuu nafurah kuona hili

Kuna cheltako mmoja huku anasema azpiculeta ni bora kuliko TAA yaan washabik wa mpira katukosea heshima aise
aiseeeeeeehhhhhh cesar huyu ambaye endapo ZANA COULIBARY a.k.a mzaa wa mayenu wa pale SSC kama atakaza kidogo tu wanaweza kuwa sawa......ahhhhhhhhhhhhhhhh bwana weeee acha utani kaka
 
Liverpool Football Club has today thanked Daniel Sturridge and Alberto Moreno for their outstanding contributions to the club and wishes them all the very best for the future.

The pair are set to leave the Reds this summer upon the expiry of their current contracts – and Jürgen Klopp has placed on record his gratitude for the roles they’ve played since arriving at Anfield.

#LFC confirm that Daniel Sturridge and Alberto Moreno will both leave the club when their contracts expire at the end of June.

Klopp: “The most important words to say to these two remarkable players is ‘thank you’
 
Sidhani kama pundits wa Bongo ni wabovu kiasi hicho, nadhani ni lile swala la nabii hakubaliki nyumbani.

Neville huyo huyo amewahi kupewa timu, wote tunajua alichokifanya.

Ukiangalia comments za international forums mfano za Liverpool utakuta wanamponda sana Neville kwamba hajui kitu, anatumia ushabiki nk.

Kitu nachoona iwe Ulaya au Bongo, washabiki tunapenda kusikiliza upande ambao unatusifu.

Na swala la kina Karius halihitaji Pundit kuona kwamba jamaa ni vimeo, mtu yeyote anayetazama mpira lazima ashangae kwamba hao ndiyo makipa!
kwanza nikumbali kwamba mimi ni msikilizaji nadra mno wa hawa wachumbuzi wetu hapa bongo japo inapotokea nikawa mahala wakiwa redioni hua nasikikiza kwa kweli sijawai kuwaelewa kamwe zaidi ya kumjua kwa jina Shafi Dauda na mwalimu Kashasha sijui hata mwingine siwajui pengine nianza kuwasikiliza pengine nitakumbaliana na wewe kwamba wapo wapo poa kimtindo...

Ishu ya Nevile kupewa timu na kushindwa haiodoi ukweli kua Nevile na moja ya wachambuzi wazuri akiamua kwa neutral just like Carrager, Townsend,Tyler, Rio n.k...
 
Unajua sisi ambao tuna access na internet na tunatembelea mitandao mbali mbali ya nje utakuta hawa jamaa hawana kitu kipya cha kutushangaza.

Ila kuna watu ambao hawatembelei huko kwa sababu ya lugha au access wanawategemea hawa kama wachambuzi na wanawaelewa.

Ila wewe utajikuta wanachambua kitu ambacho tayari unakijua, na unaona wako shallow kwa sababu wamekopi ulikosoma.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom