Kuna lile genge la majuha la Sports xtra ya Cloudefm wanasema VVD bado hajaprove uwezo wa kushinda Ballon D'orKuna kila dalili ya kuwa huyu anaandaliwa Mazingira ya kubeba Ballon D'or kwasababu anadeserve it.
Sisi ninanii hata tupingeView attachment 1116200
Kuna lile genge la majuha la Sports xtra ya Cloudefm wanasema VVD bado hajaprove uwezo wa kushinda Ballon D'or
Achana na wale majuhaKuna lile genge la majuha la Sports xtra ya Cloudefm wanasema VVD bado hajaprove uwezo wa kushinda Ballon D'or
New Avatar
View attachment 1116221
Juve wana winner players kama Ronaldo. Liverpool pamoja na kuwa na talents mnamkosa MTU wa namna hii. Mtu ambaye anaweza kuwasaidia kubeba ubingwa hasa nyakati ambazo mnakuwa na pressure kubwa. Salah, Mane Firminho, Fabinho, Handerson, Keita, Gini, VvD, Alison, TAA, Robertson....are talents but can't win you a major trophy.
So mnahitaji nguvu ya ziada kumnock out mtu wenye watu aina ya Muller, Lewandoski na Boateng ambao wanajua how to win especially when it comes to these stages.
Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu kuna Washkaji wana Tafrani kuliko waliojituma na kubeba Ndoo [emoji23] [emoji23][emoji23]
By the way! Wacha dogo afurahi... Kuna wenzake kina Hazard wanagonga miaka 30 na wanaishia kuliona kwenye TV tu.
View attachment 1116228
View attachment 1116229
View attachment 1116230
Eti Bayern wanamtaka Klopp 😀😀😀
KwemaMKUU HABARI YAKO.
Yeah! They want the Gaffer to earn £10m a year!Nimesikia FSG wanataka ku-improve mkataba wake
Na mimi nitafutie picha ya keita akiwa na kombe mkuuNew Avatar
View attachment 1116221
Today, the host location of the 2019 FIFA Club World Cup will be announced. The tournament will take place in December and will feature Liverpool + 6 other clubs