Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,591
Umepewa one night stand na Lulu umeshindwa kula mzigo leo hii umepata one night stand na Mariam Birian unajiona mwanaume mwenyewe [emoji23][emoji23][emoji23]
Oooops Sorry hongereni wakuu
Ewa umepatiaKama nitakuwa sijakosea anaitwa Justin Kessy
Don mbona thread haijafanyiwa mabadiliko hapo juu mpaka muda huu au moderator ni wapenzi wa man utd.Hahaha, tuchukulie Arsenal ndiyo Lulu, ninyi ndiyo mabingwa wa ukweli.
Don mbona thread haijafanyiwa mabadiliko hapo juu mpaka muda huu au moderator ni wapenzi wa man utd.
hongera kwa ubingwa.hongera kwa kuonyesha kiwango bora kwa msimu mzima bila ya kutetereka, hata kama ligi ya mabingwa ingelikuwa haichezwi kwa mfumo wa knockout competition liverpool pia wangelikusanya alama nyingi.
msimu ujao tafuta mchezaji atakayemletea ushindani mohammed salah pamoja na roberto firmino na kama utafanya hivyo basi una uhakika wa kucheza tena nusu final msimu ujao.
Hahaaaa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Arsenal kibonde yule bora hata Yeovil Town.Hahaha, tuchukulie Arsenal ndiyo Lulu, ninyi ndiyo mabingwa wa ukweli.
hahahaha tulia ivyo ivyoooooHongereni Wakuu japo fainali mbovu sana..
Ollachuga Oc huo unaitwa ukamavu wa mpira...kushinda hata usipocheza powa...Tulitegemea ungepigwa mpira mkubwa kama wa fainali ya Europa lakini umepigwa mpira wa hovyo sana. Uwezo binafsi tu umewabeba.
Hongereni Sana.!
Asante sana nduguHongereni sana Wajomba wa Liverpool kwa kutwaa ubingwa wa UEFA CHAMPIONS LEAGUE 2018-2019, toka rohoni Mshabiki wa Chelsea FC nimefurahi saaaana... [emoji16][emoji3][emoji28][emoji119]
Ucjal tutakutana supercup tukunyoeni vzrSemi final ilikuwa kali kuliko hii final ya jana. Mungekutana na timu kama man city au Chelsea tungeongea mengine leo.
Hongereni Sana.
#TukutaneSuperCup