Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Final ya kijinga kabisa,

Hata waliicheza pia nadhani ni viazii tu,

Haina mvuto,

Kweli nimeamin uefa tuwaachie hispania, kwa final kama hizi za kipuuzi, bora wawewanaangalia club za kufika final

Pumbavu sanaa
Champions league hua haiachiwi mtu,ukifunga vigogo wote ndio unachukua ubingwa.liverpool ndio bingwa wa ulaya haitabadilika hio
 

Ndio anaenda kuonyesha ubabe kama sarri,

Ndugu zangu reds ufukuaji wa makaburi kama hivi si ni ruksa, hahaaa
 
Final ya kijinga kabisa,

Hata waliicheza pia nadhani ni viazii tu,

Haina mvuto,

Kweli nimeamin uefa tuwaachie hispania, kwa final kama hizi za kipuuzi, bora wawewanaangalia club za kufika final

Pumbavu sanaa
Ingekua fainali nzuri km spurs wangeshinda!! Mpaka sasa ungekua unamsifia Son na Pochetino, au ulitaka wachezaji wavunjane mabega ndo iwe fainal bora?!! Sisi fainali tulishacheza na Barca, jana tulikua na sherehe ya kukabidhiwa ndoo tu.
YNWA
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…