Mkuu ngoja nikwambie kitu mjenga hoja yyt huwa hafanyi mashambulizi binafsi kwa mwingine,Kama unafatilia vizur yanayojadiliwaga humu ukiacha ukosoaji wa kawaida wa kimchezo,watu wanapenda Sana kupelekeana mashambulizi binafsi iwe kumuona mwingine hajui chochote au kutaka tu unachokiamin ewew ndio kiwe hicho hicho kwa kila mtu...
ANWAYS NILICHOTAKA KUMAANISHA NI KUWA KWENYE MPIRA KILA MTU ANA JICHO LAKE NA ANAWEZA KUSEMA ANACHOKIONA YEYE NDIO SAHIHI, LKN AKAWA HAYUPO SAHIHI KTK JICHO LA MTU MWINGINE,MARA NYINGI WATU WANAKUBALIANA KUTOKUKUBALIANA NA MAISHA YANAENDA ILA KAMA UTAONA EWEW TU NDIO MCHAMBUZI UNASEMA UKWELI KUTOKANA NA HOJA ZAKO ILA HOJA ZA MWINGINE SIO SAHIHI NA UKALAZIMISHA TUFATE UNACHOONA EWEW TU,SIDHANI KAMA UNAKUWA UPO SAWASAWA.
Mkuu Kusema PEP ni best Coach ndiyo imeshakiwa ugomvi?
Mtu Ndani ya misimu hii miwili ameshabeba Makombe Matano bado hamutaki kuukubali ukweli?
Ivi kuna ubora gani kuliko kuchukua EPL kwa Zaidi ya points 90 Mara mbili mfululizo?
Au ndiyo munaendelea kutuaminisha kuwa PEP anabahatisha?
Ivi kuna ubora wakocha mwengine usiokuwa Kushinda Makombe?
Hapa hakuna Anayekatazwa kupost, Lakini haimaanishi kuwa Pakipostiwa tusihoji!!!
Kama hatupaswi kuhoji kinachopostiwa basi haina haja ya kuwa ndani ya Social Network.
Muhimu tunachotaka Ni kiwa Jengea Hoja kwa ulichokipost.
Na sio Kweli Kuwa Mtu akipost anashambuliwa humu! Bali Mashambulizi yanakuja kwa Washabiki wa Timu nyengine wanaopost Pumba zao.
Lakini kwasisi tukea tuanze Mjadala wa PEP hakuna aliyeshambuliwa hapa Bali ukipitia Post zote utaona zinajibiwa Hoja kwa Hoja.
Lakini hayo unayo yapropagate hayana uhalisia wowote.
Cha ajabu aliyeaanza kujiita HALISI na kutuita sisi FAKE kwasababu tu tumepishana mawazo sikuwahi kukuona ukimshauri chochote hapa! Au msamiati FAKE hauna tatizo kwako?
Mkuu tuache doublestandard