Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,936
- 40,518
Mafanikio aliyapata pep tangu atue pale, hata watangulizi wake wamefanya hivyo hivyo, matajiri wa city walimleta pep pale kwa lengo la kubeba uefa hayo mengine ni upuuzi tu kwao
Kuwa mshabiki wa Liverpool FC kusikunyime nafasi ya kuangalia timu zingine kwa mtazamo huru, siyo dhambi bro.
Unaweza kuniambia Roberto Mancini kakaa muda gani, na ana EPL ngapi! Vivyo hivyo kwa Pellegrini kakaa muda gani, kapata EPL ngapi?
Pep ana misimu 3, ana EPL 2, ana FA, ana Carabao.
Na EPL kamaliza kwa 100, 98 points kwa misimu mfululizo, who else has ever done this?