Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,936
- 40,518
Dah! Kwahiyo mshampa mamlaka yote pep
Ndio maana kuna halisi na sisi chipolopolo
Uwepo wa Pep unasababisha timu ziwe na ushindani wa hali ya juu, na lazima level ya perfectionism iwe kubwa. Pata nafasi 3 funga goli moja au mawili.
Kama Pep anaendelea kuwepo hakuna namna, ni lazima tuwe na kikosi hicho, tuwe na benchi la ukweli pia, kitu kinachohitaji investment sahihi.
Otherwise, tutakuwa tunamsindikiza.