Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Wakuu mnaonaje sisi Liverpool tukamuachia tu Spurs akabeba UEFA kwa sababu sisi hatuko tayari kubeba kombe lolote??

Mimi naona iwezo wa kumfunga Spurs utakuwa mdogo sana kwa sababu spurs ajawai kufika iyo hatua aliyofika ivyo atafanya juu chini apeleke kombe London...

Hivyo sisi Liverpool ni bora tungejipanga kwa msimu ujao tu wakuu. Au nyie mnaonajeee..,
 
Mkuu Chugga umehamia Spurs baada ya Barca wako kufa kihalali?
 
Wakuu mnaonaje sisi Liverpool tukamuachia tu Spurs akabeba UEFA kwa sababu sisi hatuko tayari kubeba kombe lolote??

Mimi naona iwezo wa kumfunga Spurs utakuwa mdogo sana kwa sababu spurs ajawai kufika iyo hatua aliyofika ivyo atafanya juu chini apeleke kombe London...

Hivyo sisi Liverpool ni bora tungejipanga kwa msimu ujao tu wakuu. Au nyie mnaonajeee..,

Just focus on your own business coz Arsenal will gonna fvck you trust me.
 
zaha not harmless anapiga mpira mkubwa kama wa mane akipata club kubwa ule ni moto wa kuotea mbali.

Hata Lukaku aliyekuwa akicheza Mbele ya Mido ya Barkley alionekana Moto Everton, Lakini leo hii anacheza Mbele ya Mtaalamu kama Pogba anashindwa hata kufika goli 15 per season.

Kwahiyo huo moto wa Zaha ni Cold fire na sio Hot fire.

He is Harmless narudia tena! Coz kama ni Winga Mshambuliaji kwanini Kashindwa hata kuvuuka goli 10 za EPL wakati yeye ndiye Main Man kwenye timu?
 
Sijawahi kumkubali lukaku tangu akiwa evaton, lkn zaha kwa timu aliyopo goli 10 na assist 5 sio stats mbaya ukiachilia mbali skills anazofanya uwanjani akipata timu kubwa ataku-prove wrong mkuu.
 
Brandt latest
Julian Brandt looks set to stay in Germany to sign with Borussia Dortmund.

The Germany international had originally indicated he would remain with Bayer Leverkusen after the club qualified for the Champions League next season.

However, according to Bild, Brandt has rejected offers from Liverpool, Spurs, Atletico Madrid and PSG to join Dortmund.
Duuu yaani nimeumia kwa kweli,tumefeli kwa mara nyingine wiki ijayo atafanyiwa vipimo,tayari pia Dortmund wamemchukua mdogo wake Hazard,Thorgan lets wait and see plan za Klopp after UCL fainal
 
Mkuu hatujafeli! Media's rumors has nothing to do with Klopp's plan

Tunapobid halafu dau likakataliwa kama ilivyokuwa kwa Pulisic last season s, au mchezaji mwenyewe akakataa kama alivyokataa Sanchez kuja Liverpool alipokuwa Barcelona! Hapo ndiyo tungesema tumefeli..

Lakini kwa wachezaji ambao hatukubid chochote kama hao basi huwezi kusema tumefeli coz zilikuwa ni tetesi tu.
 
IMG_4998.JPG
 
Duuu yaani nimeumia kwa kweli,tumefeli kwa mara nyingine wiki ijayo atafanyiwa vipimo,tayari pia Dortmund wamemchukua mdogo wake Hazard,Thorgan lets wait and see plan za Klopp after UCL fainal
bila shaka lazima tununue kuimarisha kikosi chetu kukimbizana na wapinzani wetu...

Klopp na mwenyekiti Henry wanachodai ni kwamba upo uwezekano mkubwa wasiuze wale wachezaji tegemezi hivyo anasema atakua bado tuna kikosi imara...pengine hii anasema ila nyuma ya pazia wanafanya uhakiki wa mwisho na ma scout ili tupate wachezaji bora..muda utasema lakini yetu macho
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom