Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

huyu dogo tumchukue fasta.

chini ya Klopp he'll become a much much much better player than what he currently is.

1101809
 
PEP promised £200m oil money this transfer window
Ingawa Kikosi chake kikovyema kuliko kikosi chochote kile cha EPL lakini still anaingia sokoni kama anaanza sasa.
Na sajili zake nyingi huwa hakosei...
Sioni tukitoboa katika kipindi chote PEP atakachokuwa England.

Baada ya kuona press ya Pep akisema "We will come more strong than this next season".

Nilipost hii kitu hapa:-

Screenshot_20190519-120105.jpg

Pep Guardiola huwa yuko very straight, hazungushi maneno.

Anachokisema ana maanisha, itokee kishindwe lakini ni moja ya watu nakubali press zao.
 
Unamaanisha pep akikaa misimu nane ijayo yeye ndio atakua bingwa?
Baada ya kuona press ya Pep akisema "We will come more strong than this next season".

Nilipost hii kitu hapa:-

View attachment 1102001

Pep Guardiola huwa yuko very straight, hazungushi maneno.

Anachokisema ana maanisha, itokee kishindwe lakini ni moja ya watu nakubali press zao.
 
Tunaweza tusitoboe ila kisingizio kisiwe pep, kwani hata msimu ujao unaweza kukuta liver au city sio mabingwa.
PEP promised £200m oil money this transfer window
Ingawa Kikosi chake kikovyema kuliko kikosi chochote kile cha EPL lakini still anaingia sokoni kama anaanza sasa.
Na sajili zake nyingi huwa hakosei...
Sioni tukitoboa katika kipindi chote PEP atakachokuwa England.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom