Klopp akiwa mapumzikoni ya siku kadhaa kabla ya fainali UCL
IMG_20190518_121328.jpeg
 
noma sanaaa aisee hii mishahara pia ni shindaa wakati mwingine zali pia imagine Bale Real anapewa almost 600,00usd kwa wiki lol na almost muda mwingi yupo majeruhi au Sanchez hapo kwenu kumlipa £500,00 kwa wiki ni sawa?
mpira umegeuka bigtime business..
Na bado hawaridhiki..hela wanayopewa hawa jamaaa inaendesha na kumaliza kero kama cyo kuzipunguza za tz nzima hlf ni kwa wiki.

Ni basi tu huku kwetu vipaji vinakufa tu, channel hakuna, full kero
 
Na bado hawaridhiki..hela wanayopewa hawa jamaaa inaendesha na kumaliza kero kama cyo kuzipunguza za tz nzima hlf ni kwa wiki.

Ni basi tu huku kwetu vipaji vinakufa tu, channel hakuna, full kero
mkuu sio channel mbali pia kujituma kisawasawa..kua professional football ni gharama sana esp kwenye misosi lazima kua na diet inayoeleweka na kuifuatilia ipasavyo na gym kama kawaida...

hapa unakuta mchezaji anaishi kwa chips kuku wa kisasa ndio mlo wake mkuu asa unategemea akipewa majaribio atatoboa? aafu ana mademu hata idadi haijui ni kwamba akifika kuichezea Yanga au Simba basi anaona amefika kilele cha mafanikio...

Alikuja Drogba pale Kempisky akala kuku mzima wa kienyeji watu wote pale wakatoa macho hatareee...

usione hawa akina Buffon, SG8,CR7, Gaucho, Messi, Giggs n.k kua top top kwa miaka mingi mbali wanajitambua na kusikiliza ushauri wa watalaam wa vyakula na mazoezi...

After all 'WE ARE WHAT WE EAT'
 
Na bado hawaridhiki..hela wanayopewa hawa jamaaa inaendesha na kumaliza kero kama cyo kuzipunguza za tz nzima hlf ni kwa wiki.

Ni basi tu huku kwetu vipaji vinakufa tu, channel hakuna, full kero
miaka ya hivi karibuni uwezekezaji kwenye mpira umeongezeka maradufu hivyo klabu nyingi zina nguvu ya kulipa hii mishahara na bado cheji ikabaki...

ishu hawa wachezaji wa siku hizi full tamaa yaani akisikia anatakiwa na timu nyingine marupurupu yanaongezeka kama vile assist moja bei fulani na akifunga goli bei fulani au na mshahara ukaongezwe basi wee ataanza vituko mpaka basi...
 
mkuu sio channel mbali pia kujituma kisawasawa..kua professional football ni gharama sana....
hapa unakuta mchezaji anaishi kwa chips kuku wa kisasa ndio mlo wake mkuu asa unategemea akipewa majaribio atatoboa? aafu ana mademu hata idadi haijui ni kwamba akifika kuichezea Yanga au Simba basi anaona amefika kilele cha mafanikio...
Yah kua proffessional player inahitaji maandalizi ya mapema sana kuanzia damu ikiwa changa, kitu ambach wenzetu wanakiona miaka ya awali sana ya mtoto so anaanza kupikwa....wenzetu wale sera ya michezo ni major priority kweny platform ya national development, sis huku tukiwa na ndege 6 tayar tumeendelea (siyo kwamba ndege zicwepo)

Players wa tz wengi wana limited vision au ni visionless kabsa kuhus career aliyonayo na ndy mana wao kujitafsir ni kua ni bora kati ya wengi, basi awe anacheza yanga, simba na aki-loose sana basi azam na baada ya hapo aachane na soka akalime...unlimited vision kwa player yyt ndy itakayomfanya afikie malengo makubwa...

Tz kuendelea kisoka na ije itoe wachezaji makin kama Mane au Sala au Auba, itachukua miaka sana.

Nb: Ishu ya channel ni muhimu pia mana wapo wachezaji ambao regardless of how potential they are; wakikosa channel, hawawez toka
 
Mnaenda kubeba wapi mkuu,

Naona mnaanza kugombania visahani baada ya kukosa vikombe
huu msimu mbaya kweli kwa liverpool
Ahahaaaah...
Huyo bwana hajawahi kupatia utabiri wake hata siku moja..!
Kuna uzi mmoja alipost miezi kadhaa iliyopita kuwa Liverpool anabeba FA Cup, EPL na UEFA Champions League..!
Sasa hivi naona amekuja kivingine..!
 
Back
Top Bottom