Daah ni huzuni na masikitikoPole sana ndugu,tunaanza kuchukua Epl j2,then 1 june Uefa then,super cup.




Hahahaaaaa... Tatizo mdomoleo ndiyo ile siku ya yule mwana yanga wa premier league kule england kuupisha ubingwa nakumuachia nafasi jogoo achukue utawala wake...
NOTE:Kwakuwa yanga alichapwa kulingana na utabili wangu yakinifu ,barca naye akachapwa nikiwa kwenye harakati za kukamilisha utabili leo pia tutegemee mazuri ,tukimshuhudia mwana marundi wa ETIHAD akiwa hoi![]()
Kwaiyo sisi Liverpool tumekosa ubingwa![]()




Too bad kwako washapewa



Amka mkuu acha kuota ndoto za ajabu ajabu..Kesho brigton 2 man city 0....YNWA



Hongera pia mkuu ..kumaliza nafasi ya pili sio haba...japo na uefa tunaeza maliza nafasi ya pili pia..Southern Highland, Ollachugga, Eden Kimaro nawapa pongezi kufika fainali futuhi...
msimuu huu ni wa EPL kutawala Ulaya.
Mwanzoni mwa Jan - Feb nilikuwa na hasira sana na Mwenendo wa Timu jinsi tulivyokuwa Careless...
Lakini leo nimejihisi Niko Comfortable sana licha ya kuwa hatujashinda chochote! You know why?
Kwasababu niliamini since Jan - Feb baada ya games vs Leicester & West Ham kuwa tumeshapoteza nafasi.
Mkuu Malafyale sisi fans tuliandaa sherehe za kusherekea ubingwa wa EPL ..sasa tuendelee kusherekea au



Natamani wangetumia Goals+Assists ili apewe Eden Hazard kwa kuwa anazo 31 in totalNatamani watumie goal per minute Auba apewe peke yake.
Salah na Mane wajipange upya.
Hii over confidence itakuuwa siku ya fainali.Toty mwenyewe hali yake co nzur hata kidogo, kwa final ya mwaka huu iko wazi kabisa kwa liverpool
haaa hao wazee wa kuota ndoto ndefu bado wamelala